Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

Sasa hutaki na ni mtu ameamua sababu ni mali yake..wabongo tunajua kupangia watu maisha sana. Sijajua kwanini.
Ndio maana kuna washauri hakuna anayempangia, akiamua kusuka sawa na kunyoa pia ni maamuzi yake. Anachotaka kufanya tulishakiona tulio kwenye sekta hizo, mtu mzima hapangiwi. All the best kwake tutasubiri mrejesho
 
Mwezi ulopita
Nmekopa mahali pesa ndefu ya riba ya 10% kwa mwez mmoja,Kuna mchongo nlkua nauskilizia nitie pesa ndefu nipate pesa zaid

So sad, lile Dili limekua dirisha
mpk mwezi unaisha, pesa yote niliyokopa sijaifanyia kazi yoyote

Tar 27 mwez Huu Nmelazimika kurejesha pesa ya Watu na riba juu na sijaingiza kitu[emoji22]
 
Biashara za kukopeshana na serikali Ni Changamoto Sana, mi nilishaacha.

Unafilisika unajiona
 
Huu mkopo nausikia tu sana hivi unakuwaje dear
Huo mkopo unaanzia laki,utalipa riba ya elfu 30 ndani ya mwezi inatakiwa uwe umemaliza,ukipewa Leo mkopo inatakiwa kulipa elfu nne kuanzia kesho yake Ni mpera mpera mpaka utapomaliza Deni,,,ukichua laki mbili kila siku utalipa efu nane....Sasa imagine hela umepewa Leo kesho uanze marejesho umetafuta hiyo pesa saa ngapi na hata Kama una biashara faida yote unampa yule mkopeshaji
 
Pole sana Deep
 
Duh bora ingekuwa unalipa zote kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…