MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Jamani nyie mikopo isikieni tu Kwa wenzetu sio mizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hii mikopo iko nzuri na mibaya, nilishawai kuchukuwa M10 za mkopo hapo sikujua namna ya kurejesha maana ilikuwa haraka haraka siku yule jamaa ananipa utaratibu wa kurejesha niliishiwa nguvu, maana nilitakiwa nilipe jumla ya M16 kwa miezi sita, cha kustaajabu hela yote niliijengea, nyumba nikaiuza nikageuka mpangaji kwenye hiyo nyumba, alienunua hiyo nyumba nae akanipa notisi niachie nyumba yake.
Kwan hujalambishwa asali mkuu?Hii ni mara 4 nakopa mkuu back to back,sema mara hii biashara sielewi kabisa zaidi ya kusikia tu watu wanaunga mkono juhudi [emoji851]
Acha uhuni wakoNjoo tulime dada yangu mie shamba lipo
🤣🤣🤣🤣 Kwani umeambiwa mawardat hataki kuliwa kimasikhara 🤣🤣🤣🤣Acha uhuni wako
Unataka kumla kimasihara wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hao jamaa ni wezi hatariiiiKuna kipindi nilichukuq mkopo kweny hv vitaasisi vya mikopo duuu acha tuu mkopo ulikuwa wa haraka nilijikuta najuta alaf wana riba kubwa sana
Achen uhuni wenuKaribuni MABENA FINANCIAL SERVICES TUPO NCHI NZIMA KILA WILAYA MKOPO CHAP RIBA 20% dhamana Ni vitu vya ndani
Huyo jamaa ni muhunimzabzab
Acha umbea na ww unajichekesha nn sasa [emoji848]
Kifupi nikopa NMB 10ml nialipa marjesho kama 6 biashara ikaanza kuyumba.aisee nilihangaika huku na huko nyumba isiuzwe bila mafanikio.mwisho niliongea na marafiki zangu wanimlizie deni then mambo yakiwa mazuri niwarejeshee wao badala ya benk,hivyo nilipigwa tough kama 4ml nikaokoa nyumba yangu..sasa deni limehamia kwa washkaji ndo mziki upo hapo.Mungu nisaidie
We jamaa una mzaha sanaAtleast kala totoz. Nyumba kitu gani bwana dunia yenyewe hii tunapita tuu
Uwale kimasihara kwanzaHao watanifaaa ebu fanya mambo pm kuna ka m3 kamekaa kihasara hasara niwakopesha wamama
Sasa unataka niwaze nini wakata nikiamka nipo jf nakunywa chai ya mama wa kambo narudi tena jf huku nasubiria ugali wa mama wa kamabo alafu alivyobarikiwa tako naona siku nitamlia baba mbususu ya mke wake. Huo ndio utakuwa mwisho wa kuonekana jfWe jamaa una mzaha sana
Muda wote unawaza kula kimasihara tuu
Mzee wa mbususu matako wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sijui kwanini nacheka kama mazuri ila nimecheka😂😂😂Aisee hii mikopo iko nzuri na mibaya, nilishawai kuchukuwa M10 za mkopo hapo sikujua namna ya kurejesha maana ilikuwa haraka haraka siku yule jamaa ananipa utaratibu wa kurejesha niliishiwa nguvu, maana nilitakiwa nilipe jumla ya M16 kwa miezi sita, cha kustaajabu hela yote niliijengea, nyumba nikaiuza nikageuka mpangaji kwenye hiyo nyumba, alienunua hiyo nyumba nae akanipa notisi niachie nyumba yake.
Daaah ila we jamaa unavituko sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwani umeambiwa mawardat hataki kuliwa kimasikhara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mrembo amechoka selfie ya kona ya kitanda
Usile mbususu ya mzee wakoSasa unataka niwaze nini wakata nikiamka nipo jf nakunywa chai ya mama wa kambo narudi tena jf huku nasubiria ugali wa mama wa kamabo alafu alivyobarikiwa tako naona siku nitamlia baba mbususu ya mke wake. Huo ndio utakuwa mwisho wa kuonekana jf
Ndio raha ya jf....Daaah ila we jamaa unavituko sana
Mzaha mwingi anyway hii ndiyo jf
Tunacheka siku zinasogea
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ipi hiyo??Katika point kubwa duniani.. hii ndo yenyewe