Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

Aisee hii mikopo iko nzuri na mibaya, nilishawai kuchukuwa M10 za mkopo hapo sikujua namna ya kurejesha maana ilikuwa haraka haraka siku yule jamaa ananipa utaratibu wa kurejesha niliishiwa nguvu, maana nilitakiwa nilipe jumla ya M16 kwa miezi sita, cha kustaajabu hela yote niliijengea, nyumba nikaiuza nikageuka mpangaji kwenye hiyo nyumba, alienunua hiyo nyumba nae akanipa notisi niachie nyumba yake.

Nmecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kifupi nikopa NMB 10ml nialipa marjesho kama 6 biashara ikaanza kuyumba.aisee nilihangaika huku na huko nyumba isiuzwe bila mafanikio.mwisho niliongea na marafiki zangu wanimlizie deni then mambo yakiwa mazuri niwarejeshee wao badala ya benk,hivyo nilipigwa tough kama 4ml nikaokoa nyumba yangu..sasa deni limehamia kwa washkaji ndo mziki upo hapo.Mungu nisaidie

Kwahiyo ulikopa milioni 10 ukalipa milioni 10 mkuu?[emoji276]mbona maajabu ya mwaka
 
We jamaa una mzaha sana
Muda wote unawaza kula kimasihara tuu
Mzee wa mbususu matako wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa unataka niwaze nini wakata nikiamka nipo jf nakunywa chai ya mama wa kambo narudi tena jf huku nasubiria ugali wa mama wa kamabo alafu alivyobarikiwa tako naona siku nitamlia baba mbususu ya mke wake. Huo ndio utakuwa mwisho wa kuonekana jf
 
Aisee hii mikopo iko nzuri na mibaya, nilishawai kuchukuwa M10 za mkopo hapo sikujua namna ya kurejesha maana ilikuwa haraka haraka siku yule jamaa ananipa utaratibu wa kurejesha niliishiwa nguvu, maana nilitakiwa nilipe jumla ya M16 kwa miezi sita, cha kustaajabu hela yote niliijengea, nyumba nikaiuza nikageuka mpangaji kwenye hiyo nyumba, alienunua hiyo nyumba nae akanipa notisi niachie nyumba yake.
Sijui kwanini nacheka kama mazuri ila nimecheka😂😂😂
 
Sasa unataka niwaze nini wakata nikiamka nipo jf nakunywa chai ya mama wa kambo narudi tena jf huku nasubiria ugali wa mama wa kamabo alafu alivyobarikiwa tako naona siku nitamlia baba mbususu ya mke wake. Huo ndio utakuwa mwisho wa kuonekana jf
Usile mbususu ya mzee wako
We kula ugali wake tuu

Back
Top Bottom