Sii uje kwangu tuu niwe nakukopeshaKikoba
Ni hisa zangu niliweka mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sii uje kwangu tuu niwe nakukopeshaKikoba
Ni hisa zangu niliweka mwenyewe
🤣🤣🤣🤣 Sasa sii bora anajenga je wale waliokunywa bianna kusasambua mbususuHivi unakopa kabisa pesa ili ukajenge?!
Michango ya harusi na vijoraNa wakopaji wengi pp0 fanyia mambo ya ajabu ajabu
Aisee kwa Hawa wamama Ni chap kwa haraka😂😂😂Pichu mkononiNiunganishe na hao wamama na mie nipewe mbususu kiulaini🤣🤣🤣
Hao watanifaaa ebu fanya mambo pm kuna ka m3 kamekaa kihasara hasara niwakopesha wamamaMichango ya harusi na vijora
Aisee kwa Hawa wamama Ni chap kwa haraka😂😂😂Pichu mkononi
Ilikuwa siyo benki ni mtu binafsi.iyo benki gani riba asilimia 60, ata ivyo ulibugi vibaya, unachukua mkopo unajengea. pole
Una kampuni ya mikopo?Sii uje kwangu tuu niwe nakukopesha
Yuko mmoja kibamba hapo tu anadaiwa laki 7Hao watanifaaa ebu fanya mambo pm kuna ka m3 kamekaa kihasara hasara niwakopesha wamama
Tuchukuwe mkopo kwa bodaboda.Njoo tulime dada yangu mie shamba lipo
Mabena[emoji23][emoji23][emoji23]Karibuni MABENA FINANCIAL SERVICES TUPO NCHI NZIMA KILA WILAYA MKOPO CHAP RIBA 20% dhamana Ni vitu vya ndani
Ndugu zake wanampendaKuna jamaa yangu alikopea nyumba Kama 10m,,,, ! Nyumba yenyewe urithi ! Bank officer alomfanyia mpango alikula Kama lak 4 za fasta, yeye jamaa Ni mtu wa totoz na Bata,,,
Lengo lake ilikuwa afungue biashara, kachezea ile hela Kuja kustuka imebaki 5m. ,, Kafungua biashara Hana uzoefu nayo, mwanzon pale Mambo magumu ,,,huku marejesho,,,ngoma ikamshinda akauza duka akasepa ! Ile nyumba ilitangazwa mnada, ndg zake wanajiweza ndio waliiookoa! Sa hivi pale hasogei, anaishi Kama digidigi,,,ni mtu wa kujificha hapendi kujichanganya,,,
Nyumba imepangishwa,,,ndg walisema mpk hela waloitoa ikirudi ndo apewe !
Mlete kwangu huyo apate hudumaYuko mmoja kibamba hapo tu anadaiwa laki 7
Ulete tujifunzeMwaka huu pale kongowe amezikwa mfanya biashara wa siku nyingi sana kisa madeni ya benk. Nkitulia ntaleta huu mkasa
Wewe ni mpenda ngono uliyekubuhu.Atleast kala totoz. Nyumba kitu gani bwana dunia yenyewe hii tunapita tuu