Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

Mwakani uvute nini ?.. hahaa mkuu ushalamba asali
 
Ha ha yan faida unajipangia mwenyewe [emoji3][emoji3]
Hata sisi kabla hatujachukua mkopo tulikuwa na mawazo kama yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nipo industry ya biashara kitambo sana, ninavyoandika hiyo fedha ipo sokoni na imesharejesha mrejesho. Si kwamba nimeanza na hiyo, hizo nilistimulate tu baada ya ujenzi kunipelekesha.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
1. Kina mama ni wepesi sana kuwaingia. Ukiwadanganya kidogo wanajaa.

2. Kina mama wana familia, ni ngumu kukimbia na familia nzima.

3. Kina mama wana madanga kibao, marejesho wanaishia piga mizinga wanapata.

4. Ukimkopesha mwanaume anaweza telekeza familia akasepa na deni.

5. Ni ngumu kumjaza upepo mwanaume akajaa, kwanza unaweza pewa kipigo.

Ukitaka kuiangamiza familia anza kumuingia mwanamke. Yeye atakusaidia kazi nzima na mchoro atakupa.
 
Kila la kheri mkuu

Ukimaliza marejesho nitumie aftatu
 
Kama Eva tu alishawishiwa na nyoka akajaa sembuse hawa wana mama wa siku hizi[emoji3]
 
Mkuu haya mambo yanageka mda wowote.. unaeza handle 20M, upcoming year unachukua 30M.. paa biashara inyumba..
Najua mkuu hata hapo kwa kweli nilichukua kujazia pengo la ujenzi but in reality sio muumini sana wa mikopo, huwa napenda kuwa free sana na pato langu. Kwa hiyo vile najua mtaji unapanda nikimaliza tu narudisha hati nyumbani.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hivi suala la mikopo Kwa watumishi wa benki likoje?? Na wao hua wakijikopa ndani ya benki wanapelekeshana mputamputa kulipa kama wanavowatoa jasho wenzao??? Mfn meneja wa benki nani anamuwajibisha kulipa Kwa wakati na je akichelewa kulipa inakua imekaaje hyo??? [NAWAZA][emoji848]
 
Nahisi watakua Wana kwatwa kwenye monthly salary
 
Hahahahahahha pole sana. SEDA pale Sanawari?
 
Hongera sana. Moja ya positive comments kwenye huu uzi. Huu uzi una uhaba mkubwa wa comments kama yako. Serikali iingilie kati πŸ˜„
 
Point namba 5 nimecheka sana. Ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…