Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

Mimi nilikopa milioni 8 ada na meals. Nikanunua kiwanja 3m. Nyingine matumizi kidogo na ada. Kile kiwanja nilichonunua miaka 12 nyuma leo thamani yake ni 50m.
HESLB nawalipa kila mwezi hela yao 30,000.

Asante sirikali.
Matumizi bora sana ya akili. Mikopo bado inanipa shida. Juzi nimechukua mkopo 15M hata sijaona ziliopenda. Nimeishia kujenga msingi na vihela vingine nimeweka kwenye vibiashara mshenzi. Lakini sijakoma. Nitakopa tena.
 
mazaa alikua akichukua mikopo kwa wale SEDA.. asee mambo yakaenda kombo akawa anawatoroka maana anajua siku zao za doria..

Wakaja kwa kushtukiza kwetu ni badland kule gari unaacha road upite chocho kadhaa ndo ufike..

Braza alikua anajua ile gari ya alivyoiona chap mbiombio akaja kumshtua maza, chap akazama uvunguni..

Wakafika cha kwanza..mama yuko wapi ? Braza kwaambia amesafiri kuna msiba kijjini alikua anajibu kwa wasiwasi..

Mmoja wao akanichukua nlikua ndo niko Darasa la kwanza haoo hadi dukani...Mangi mpe mtoto mzuri biskuti ilikia zile za choclate 500/=nakumbuka..

Woii nikachoma maza yupo uvunguni kule.. 😂😂😂 wakaenda kumchomoa, hela hamna wakasomba mazaga hapo sebleni

Ile kipigo nlipata walivyoondoka biskuti ilitokea puani...
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mwamba ulizingua aisee. Ukamchoma bi mkubwa.
 
Aisee hii mikopo iko mizuri na mibaya, nilishawahi kuchukua M10 za mkopo hapo sikujua namna ya kurejesha maana ilikuwa haraka haraka siku yule jamaa ananipa utaratibu wa kurejesha niliishiwa nguvu, maana nilitakiwa nilipe jumla ya M16 kwa miezi sita, cha kustaajabu hela yote niliijengea, nyumba nikaiuza nikageuka mpangaji kwenye hiyo nyumba, alienunua hiyo nyumba nae akanipa notisi niachie nyumba yake.
Aiseee embu niache dah, kwamba ukapewa notice kwenye nyumba yako dah🤣🤣
 
Mimi mkopo ulichonifanya sitokaa nikope milele mpk naingia kaburin
Nitaridhika na ninachopata
Bora sahiz nasave hela naiona aisee
Mkopo ulikuwa unifilisi kabisa
Ila afisa mkopo ni mbwa hawana huruma
Rejesho mil 5.8 kwa mwez halafu sikuwa mzoefu wa mikopo hata kunishaur nisogeze mbele mkopo ili marejesho yapungue wakashindwa wakaniacha nakufa na tai shingon mbwa wale sitowasahau kamwe
Rejesho 5.8mil kwa mwwzi unapata mda wa kuandika nyuzi jf. Mkopo huu lazima ni ws mil500 au zaidi. Lazima ww ni ceo wa kampuni kubwa.. mkopo wa 500 ml wanakopa watu wakubwa sana hata mbunge hana mkopo huo. Otherwise wewe ni mwongo
 
Muda huu naenda kukamata nyumba ya mtu na mnada juu, yule mama lazima aniroge yaani.analia anasema ninvumilie ana misiba mitatu, sijui nani kafa, lakini ashapewa notice muda mrefu sana na mnunuzi ninae tiyari na ninaambiwa ni mchawi.🤣
Mwingine lazima nimuondowe pale maana sio kwa kiburi kile hataki kutoka kwa hiari, mama yake ni mzee sana nilienda nikamuelezea kuhusu majanga ya mwanae, cha ajabu yule bibi ni mzeee sana ila ati alikuwa mganga juzi niliona kwenye ndoto wamenitumia nyota nyiiingi naziona kwenye kona ya chumba nikaanza kukemea. Moyo ulienda mbio nikasali sana

Hii mikopo hii kuuza lazima niuze.
 
Matumizi bora sana ya akili. Mikopo bado inanipa shida. Juzi nimechukua mkopo 15M hata sijaona ziliopenda. Nimeishia kujenga msingi na vihela vingine nimeweka kwenye vibiashara mshenzi. Lakini sijakoma. Nitakopa tena.
Unakopa ili ujenge wabongo bwana
 
mazaa alikua akichukua mikopo kwa wale SEDA.. asee mambo yakaenda kombo akawa anawatoroka maana anajua siku zao za doria..

Wakaja kwa kushtukiza kwetu ni badland kule gari unaacha road upite chocho kadhaa ndo ufike..

Braza alikua anajua ile gari ya alivyoiona chap mbiombio akaja kumshtua maza, chap akazama uvunguni..

Wakafika cha kwanza..mama yuko wapi ? Braza kwaambia amesafiri kuna msiba kijjini alikua anajibu kwa wasiwasi..

Mmoja wao akanichukua nlikua ndo niko Darasa la kwanza haoo hadi dukani...Mangi mpe mtoto mzuri biskuti ilikia zile za choclate 500/=nakumbuka..

Woii nikachoma maza yupo uvunguni kule.. [emoji23][emoji23][emoji23] wakaenda kumchomoa, hela hamna wakasomba mazaga hapo sebleni

Ile kipigo nlipata walivyoondoka biskuti ilitokea puani...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee ulizinguaa
 
Muda huu naenda kukamata nyumba ya mtu na mnada juu, yule mama lazima aniroge yaani.analia anasema ninvumilie ana misiba mitatu, sijui nani kafa, lakini ashapewa notice muda mrefu sana na mnunuzi ninae tiyari na ninaambiwa ni mchawi.🤣
Mwingine lazima nimuondowe pale maana sio kwa kiburi kile hataki kutoka kwa hiari, mama yake ni mzee sana nilienda nikamuelezea kuhusu majanga ya mwanae, cha ajabu yule bibi ni mzeee sana ila ati alikuwa mganga juzi niliona kwenye ndoto wamenitumia nyota nyiiingi naziona kwenye kona ya chumba nikaanza kukemea. Moyo ulienda mbio nikasali sana

Hii mikopo hii kuuza lazima niuze.
Dah! Pole sana Mkuu
 
Rejesho 5.8mil kwa mwwzi unapata mda wa kuandika nyuzi jf. Mkopo huu lazima ni ws mil500 au zaidi. Lazima ww ni ceo wa kampuni kubwa.. mkopo wa 500 ml wanakopa watu wakubwa sana hata mbunge hana mkopo huo. Otherwise wewe ni mwongo

Sasa unafikiriw watu wote wanaondika JF ni maskini[emoji23][emoji23][emoji119]

Jamani
 
Muda huu naenda kukamata nyumba ya mtu na mnada juu, yule mama lazima aniroge yaani.analia anasema ninvumilie ana misiba mitatu, sijui nani kafa, lakini ashapewa notice muda mrefu sana na mnunuzi ninae tiyari na ninaambiwa ni mchawi.[emoji1787]
Mwingine lazima nimuondowe pale maana sio kwa kiburi kile hataki kutoka kwa hiari, mama yake ni mzee sana nilienda nikamuelezea kuhusu majanga ya mwanae, cha ajabu yule bibi ni mzeee sana ila ati alikuwa mganga juzi niliona kwenye ndoto wamenitumia nyota nyiiingi naziona kwenye kona ya chumba nikaanza kukemea. Moyo ulienda mbio nikasali sana

Hii mikopo hii kuuza lazima niuze.

Ukishika nyumba Kibaha ya kuuza nishtue
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Kama wewe ni afsa mikopo.. angalia movie inaitwa drag me to hell..... Ukimaliza kuangalia tu utaacha kazi hapo hapo

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Muda huu naenda kukamata nyumba ya mtu na mnada juu, yule mama lazima aniroge yaani.analia anasema ninvumilie ana misiba mitatu, sijui nani kafa, lakini ashapewa notice muda mrefu sana na mnunuzi ninae tiyari na ninaambiwa ni mchawi.[emoji1787]
Mwingine lazima nimuondowe pale maana sio kwa kiburi kile hataki kutoka kwa hiari, mama yake ni mzee sana nilienda nikamuelezea kuhusu majanga ya mwanae, cha ajabu yule bibi ni mzeee sana ila ati alikuwa mganga juzi niliona kwenye ndoto wamenitumia nyota nyiiingi naziona kwenye kona ya chumba nikaanza kukemea. Moyo ulienda mbio nikasali sana

Hii mikopo hii kuuza lazima niuze.
Pole,,,, una microfinance au ni afisa mikopo ! Hii kazi Ni chungu Sana, unalogwa au kuchukiwa kisa maslahi ya taasisi !
 
Kukopa kuzuri ni kule kunakotokana na kutathmini faida ya mkopo kwanza.
Yaani nakopa Tsh 10m, nakatwa jumla ya 12. hapo ukweli nimekopa 8m.
Hiyo 8m kuna biashara naenda kuifanya itakayo niingizia zaidi ya 21m kwa muda usiozidi japo miezi mitano.
Katika hiyo miezi mitano nalipa mkopo wao wa m13, na kubakiwa na m8 kama faida.
Hapo nitakuwa nimepata m8 yangu ya kuendeleza biashara yangu ya mtaji wa m8.
 
Back
Top Bottom