Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wacha niendelee kupigika na 2000 hizi maana hakuna njia salama apq
 
Mimi nilichukua mkopo wa miezi wa milioni 3 kwa ajili kuweka geti maana niliogopa kuhamia bila geti. Nilikuja kulipa zaidi ya 4.7, kazi kwelikweli. Sikuona shida maana nilipigia hela ya kodi miezi sita nk sawa na hiyo riba. Ila mkopo hapana, yaani makato ni makubwa hatari. Labda kwenye vikoba ndio kuna unafuu.
 
Naomba msaada, nawezaje kukopa na sina biashara lakini nina Nyumba yenye HATI?? Nifanyeje niweze kupata mkopo??
Mkopo ni kwa yule mwenywe biashara tayari ambayo ipo active yaani running business... mkopo kazi yake ni kuboost biashara sio kuanzisha biashara. Ukikopa bila biashara trust me nyumba yako inauzwa mchana kweupe
 
Hiyo inaharibu profile kwenye database za mkopo Tz
 
Jamani bado natoa mikoponkwa wadada. 110k-510k dhamana chupi yako iwe nyeupe nyeusi au nyekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ