Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

Mwanamke mwenyewe ni yupi uyo unaemsemea😃
Hahaha.......Kuna Wanawake wanajua kuchuna Mkuu, ukiwa mgeni wa hayo mambo unaweza kujikuta unamjengea nyumba hivi hivi Mchepuko

Ama anakwambia umpe Mtaji wa fremu kariakoo na unampa 🤗🙌
 
Sio lazima hio yote waweza chukua hata moja ukamsaidia mtu au watu kutimiza sehemu ya ndoto zao tayari ni sadaka.
Labda hiyo 1M kutoa Kwa wenye mahitaji

Lakini kuipeleka Kanisani, Kwa hawa matapeli Kwa jina la manabii/mitume wanaolindwa na Makomandoo ndiyo siwezi hata mara moja
 
Bhana eee nilikopa 15m, nikanunua Bati na kulipa fundi hela ikaisha, nikasota miaka 4 kurudisha, nilivyo mjinga si nikakopa tena baada ya miaka 4 kuisha huku nikiahidiwa kusaidia kulipa mkopo, mbona na henya mwenyewe!

Cha ajabu Sasa nikakopa tena 3m kutoka kwa ndugu yangu niliyemwambia ntarejesha mwaka ujao kabla ya March ha ha ha ha..Sina hela na nyumba haijaisha!

Nyie haya maisha, daah nakonda peke yangu
Vipi boss,ushatoboa,Pole na hongera kwa mapambano
 
Labda hiyo 1M kutoa Kwa wenye mahitaji

Lakini kuipeleka Kanisani, Kwa hawa matapeli Kwa jina la manabii/mitume wanaolindwa na Makomandoo ndiyo siwezi hata mara moja
Mi sipelekagi kanisani.
Kanisani huwa napeleka sadaka ya kawaida.. kuna watu ukiwapa fungu hilo lao utakua umetimiza maombi yao lazima uabrikiwe
 
Hahaha.......Kuna Wanawake wanajua kuchuna Mkuu, ukiwa mgeni wa hayo mambo unaweza kujikuta unamjengea nyumba hivi hivi Mchepuko

Ama anakwambia umpe Mtaji wa fremu kariakoo na unampa 🤗🙌
Tangu nimefika Dar haya mmbo nayasikiaga tu wala sijaweka mnipe location 😃
 
Mi sipelekagi kanisani.
Kanisani huwa napeleka sadaka ya kawaida.. kuna watu ukiwapa fungu hilo lao utakua umetimiza maombi yao lazima uabrikiwe
Hapo sawa

Wanasema wenye mahitaji halisi wapo Mtaani, na njia rahisi ya kutoa sadaka ni kuwahudumia wahitaji
 
Mikopo inatajirisha sana sana. Kikubwa ukikopa, rejesha kwa kutumia Faida na lengo lako hapo linakuwa kwamba utakapomaliza marejesho ule mkopo utabaki kuwa mtaji wako. Ukifanya hivyo mara 3 au 5 unatoboa. Ukishakopa unapaswa kujinyima kwa Nguvu zote, hata aumwe nani au afe mtu, usiitumie pesa ya mkopo kufanya lolote mpaka utakapomaliza marejesho ndipo utakapokuwa huru na matumizi.
 
Back
Top Bottom