azyzy omary
JF-Expert Member
- Dec 8, 2020
- 863
- 1,293
[emoji38][emoji38][emoji38]On the otherside of the story: Kwa wakopeshaji, Kuna shost anaishi huko uswahilini kazi yake kukopesha wamama. Sasa kuna muda anaumwa sana ukimuuliza anasema wakopaji wanamloga asahau madeni [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Akaanza kwenda kwa mganga na yeye kujiweka fit, Mwisho ameolewa na mganga siku hizi na biashara yake ya kukopesha anaendelea nayo.