Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Aliandikisha Mali zake zote Kwa jina la Mama yake ili kuzilindaKafanyaje😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliandikisha Mali zake zote Kwa jina la Mama yake ili kuzilindaKafanyaje😃
Mwenyewe so fala chief 😂Aliandikisha Mali zake zote Kwa jina la Mama yake ili kuzilinda
aiseeee😂😂😂😂Aisee hii mikopo iko mizuri na mibaya, nilishawahi kuchukua M10 za mkopo hapo sikujua namna ya kurejesha maana ilikuwa haraka haraka siku yule jamaa ananipa utaratibu wa kurejesha niliishiwa nguvu, maana nilitakiwa nilipe jumla ya M16 kwa miezi sita, cha kustaajabu hela yote niliijengea, nyumba nikaiuza nikageuka mpangaji kwenye hiyo nyumba, alienunua hiyo nyumba nae akanipa notisi niachie nyumba yake.
Mkopo NI wa biashara hakuna mkopo Kama huo unataka wewe...he Kama unawauzia mgogoro...shamba la uridhi hata mkigawana we hauzidi 30%...Wee kuuza unadhani hizo nyanya kwamba inatoka kirahisi watu wakisikia unauza wanataka kukulalia tuu.
Mkopo ukienda wanasema oh una biashara gani mambo mengi. Sasa unajiuliza nina shamba la million 100 nataka nikope milion 50 kweli nitacha shamba la million mia kwa million hamsin.
Anyways wacha niendelee kutamani tako la mama wa kambo tuu hapa.
Niliwahi chukua huo nilichoka mzee inakuwa active 24/7 mboo haisimami...m1kila siku elfu 40Usiombe uchukue mkopo wa KAUSHA DAMU...wanakupa leo kesho unaanza marejesho mfululizo mpaka utapomaliza kina mama wamekauka huko mitaani sio poa
Huwei toboa huo mkopo watakupa mkubwa kiasi gani...labda uchukue kumalizia ujenziNi jambo linawezekana kabisa 100% hasa kama unataka kuekeza kwenye real estate cyo kila mkopo uendeleze biashara. Kukopa na kujenga kwa ajili ya biashara n nzur pia.