Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

We ni Ms*nge
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
eehhh kwahiyo iliendeleaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mnanianya nicheke mpaka basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah[emoji23][emoji23]..
mkuu umenikumbusha mbali san..
Nakumbuka enzi niko advanc shule moja uko Pwani. Ilikuwa mida ya jioni hivi niko zangu chimbo na Kinokia changu maana pale skul ilikuwa ukidakwa na simu no discation ni home tu. Niko zangu chimbo nachat na manzi mara paaaa[emoji23][emoji23].... simu inavaibret kuangalia vizur ni mshua mkubwa kanipigia mara kaniuliza "mbona namba yako iko hewani mda huu"? [emoji848][emoji848]Nikamjibu kwa kujiamini kuwa "nimeazima simu ya Mwl na kuweka chip yangu ili niwasiliane na mshua kuhusu pesa ya tumizi" mara akakata simu na kutuma pesa papo hapo. Kipind naongea nae mtot akawa anatuma text za kulalamika "Bby mbona kimy?" Mara "Bby jmn nijibu" mara tena mshua mkubwa katuma text "Umeiona pesa niliyokutumia?" [emoji24][emoji24][emoji120][emoji120]Mkuu nikajichanganya kweny kujibu text iliyokuwa inatakiwa nimjibu manzi ndio nikamjibu mshua mkuuuu asikwambie mtu nilitaman kuikimbiza hiyo text[emoji24][emoji24] kilichofata hapo daaaahhhh huwa nikikumbuka naumia san ...mpak leo mshua mkubwa huwa ananikumbusha hiyo kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yangu alikua na boyfrind wake,story za kitaa ilikua inasemekana jamaa huwa anakujaga home kumgegeda kukiwa hakuna mtu,..daaa ilikua inaniuma kinoma' Siku hiyo mida kama ya saa 3 usiku nikaiba simu ya sister nikamtumia text jamaa' Baby kama unaweza njoo nyumbani nipo mwenyewe hakuna mtu wote wameenda kwenye harusi watarudi kwenye saa 7 usiku hivi', njoo nikupe cha fasta, jamaa akajibu nakuja, nikamwambia ukifika we zama tu ndani then nikafuta text zote nikarudisha simu nilipoitoa,,,ukwiru noma asee dk kama 15 hivi jamaa si akafungua mlango kazama ndani bila hodi akatukuta familia nzima tupo mezani tunakula' watu wote macho kwake ,jamaa akaduwaa na ukimya ukatawala kama nusu dakika hivi' hana cha kuongea ,mwisho akapata akili ya kutoka nduki"""" ahahha ilibidi nitoke nikachekee chooni,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapaswa uendelee kutuambia baada ya hapo nin kilitokea kwa sister?Na je ulikuja mwambia mchongo uliuchonga wew?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀 😀
 


Je, ulipomaliza shule maza alikupa gemu?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaa hii kali kuliko
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…