Tuliowahi kuvamiwa, kuibiwa au kutekwa na majambazi tujikumbushe

hapo ndio sae sijui ila ilipo mfikemo hotel huwa nalala sana, aissee hilo tukio linafanya nione umuhimu wa kusali na kuimani katik ulinzi wa MUNGU
Pole sana Sana Mzee Mungu alikusaidia mm nakumbuka nilikuwa nabeba hela za kazi mikononi Tu natoka nazo bank Mwanjelwa hakika Mungu alikuwa upande wangu Zama hizo

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
hapo ndio sae sijui ila ilipo mfikemo hotel huwa nalala sana, aissee hilo tukio linafanya nione umuhimu wa kusali na kuimani katik ulinzi wa MUNGU
na hapo hotel one day nimelala, aise saa nane za usiku kitasa kinanyongwa nahisi yalikuwa mauza uza sitaki kulala , naona kwa mbeya nilale kule mjini somberelo hotel bei cheap ile
 
Pole sana Sana Mzee Mungu alikusaidia mm nakumbuka nilikuwa nabeba hela za kazi mikononi Tu natoka nazo bank Mwanjelwa hakika Mungu alikuwa upande wangu Zama hizo

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
ulinzi wa MUNGU ni zaidi ya yote , soma zaburi, tukio langu MUNGU hakupenda nife , sababu siku nzima sina fahamu sasa ningejiteteaje
 
na hapo hotel one day nimelala, aise saa nane za usiku kitasa kinanyongwa nahisi yalikuwa mauza uza sitaki kulala , naona kwa mbeya nilale kule mjini somberelo hotel bei cheap ile
Somberelo mkuu kumepoa Sana kule saivi hakuna matukioa tena pale Sae mm uwa naenda sana Mfikemo narudi vizuri kabisa

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana
 
Kiboko ni USA...Jamaa 2 walivamia Kwa Jambazi sugu na Baunsa. Black America. Aka wamudu wezi. Afu akawageuza mademu zake. Ali wafi.ra kwa zamu siku 2.
haikuwa hivyo jamaa walikuwa wa2 walivunja mlango wakaiba kabla hawajatoka mwamba akaingia ni mzungu mwenzao ila ni mbavu akawataiti akawageuza wake zake fira sana kama siku tano akawaachia alipoulizwa na waandishi wa habari akasema wap walivunja mlango wangu na mimi nimevunja milango yao ya nyuma...nenda insta search je wajua utamuona ni post ya nyuma kidgo..
 
We bhangi kwa kweli
 
Nilimshuhudia mwizi akichomwa moto

Sema wanaludshana sana nyuma
 
Bado upo Arusha Dada Betty?pole sana
 
Mshukuru sana Mungu mkuu, jamaa wangewamaliza siku hiyo.
 
Mkuu wewe jirani yako alikuwa wa jinsia ipi 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…