Tuliowahi kuvamiwa, kuibiwa au kutekwa na majambazi tujikumbushe

Mimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.

Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.

Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwaka 2012 nikiwa na rafki angu tulipewa mtaji na mwl wetu wa sekondari baada ya kuhitimu kidato cha nne,,Basi tulianza biashara ya kununua samaki.
Siku moja majira ya saa nane usku tulitoka ziwan na samaki wengi karbia wa laki sita tumefunga kwenye baiskel zetu kila mmoja,
Gafla tulikula fimbo,,ngumi na mapanga kumbe ni majambazi tulipigwa sawa sawa aisee sitasahau
Jamaa waliiba samaki wakiwa wabichi
 
Mi ile wanaruka fence kumbe niko macho, nikaandaa mguu wa kuku, ile wanabomoa tu mlango na fatuma yao nikaanza kuwatembezea za kichwa tu, mi nikaimba nao za kichwa tu.
hii ni
1666527757833.jpg
 
Nimeuliza iwapo kiziwi anaweza zungumza. Hayo unayoongelea na mwenzako endeleeni tu, nimetaka kujua tu iwapo kiziwi anaweza zungumza.
Inawezekana!!
Sio kila kiziwi ni bubu!!
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.

Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.

Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......
Mkuu nimecheka dah 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulikua sisi naakina mrope kumbe ulikua boya wewee..! [emoji849]
 
Sitokuja kusahau wezi waliokuja kutuibia mbuzi wakachinga na kuchuma mbuzi zizi zima yaani wale wapuuzi walituachia ngozi na vichwa tu.
Tulikuja kuamshwa saa5 asubuhi na majirani
Khaaa. Itakuwa mlikufa kwa muda, shughuli yote hio hamkuamka!!!?
 
Back
Top Bottom