Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Alikua juu ya mtiBalaa na bwana wa sister ako je
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua juu ya mtiBalaa na bwana wa sister ako je
Mimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.
Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.
Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......
Uliua wangapi?Mi sikutaka kuelewa maelezo yoyote...ni za kichwa tu
Jamaa waliiba samaki wakiwa wabichiMwaka 2012 nikiwa na rafki angu tulipewa mtaji na mwl wetu wa sekondari baada ya kuhitimu kidato cha nne,,Basi tulianza biashara ya kununua samaki.
Siku moja majira ya saa nane usku tulitoka ziwan na samaki wengi karbia wa laki sita tumefunga kwenye baiskel zetu kila mmoja,
Gafla tulikula fimbo,,ngumi na mapanga kumbe ni majambazi tulipigwa sawa sawa aisee sitasahau
Hizi sasa hivi kuna bikraHuku hakuna tozo kabisa kila kitu bure!,lkn wale mabikra 72 sio kweli [emoji28]ni mwenye wakutulia tu na genye zako!
hii niMi ile wanaruka fence kumbe niko macho, nikaandaa mguu wa kuku, ile wanabomoa tu mlango na fatuma yao nikaanza kuwatembezea za kichwa tu, mi nikaimba nao za kichwa tu.
Inawezekana!!Nimeuliza iwapo kiziwi anaweza zungumza. Hayo unayoongelea na mwenzako endeleeni tu, nimetaka kujua tu iwapo kiziwi anaweza zungumza.
Mi ile wanaruka fence kumbe niko macho, nikaandaa mguu wa kuku, ile wanabomoa tu mlango na fatuma yao nikaanza kuwatembezea za kichwa tu, mi nikaimba nao za kichwa tu.
Jinyongee
Mkuu nimecheka dah 😂Mimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.
Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.
Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......
Hii safi sanaKiboko ni USA...Jamaa 2 walivamia Kwa Jambazi sugu na Baunsa. Black America. Aka wamudu wezi. Afu akawageuza mademu zake. Ali wafi.ra kwa zamu siku 2.
[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulikua sisi naakina mrope kumbe ulikua boya wewee..! [emoji849]Mimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.
Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.
Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......
[emoji23][emoji23][emoji23]dahSikuiyo sikutaka kujua kama baadae wanajf watasema ni chai...mi niltembeza za kichwa tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Yan mi skutaka kuwauliza wamelibebaje...ni za kichwa tu
Khaaa. Itakuwa mlikufa kwa muda, shughuli yote hio hamkuamka!!!?Sitokuja kusahau wezi waliokuja kutuibia mbuzi wakachinga na kuchuma mbuzi zizi zima yaani wale wapuuzi walituachia ngozi na vichwa tu.
Tulikuja kuamshwa saa5 asubuhi na majirani