Tuliowahi Kuvimbiwa kwenye sherehe..Tufarijiane jamani

Tuliowahi Kuvimbiwa kwenye sherehe..Tufarijiane jamani

Hahah mkuu Majivuno mda mwingn hayafai, jamaa mmoja alipanda daladala kidogo sim ikaita akaitoa mfukon alipoangalia akaona mke wake alikuwa anapiga, kwa kutaka kujionyesha akapokea simu na kuweka loud speaker akiwa na abiria wenzake, jamaa akauliza mke wangu muda huu umenimiss au tatizo nini nambie bac baby,mke akajibu sijakumiss nataka kujua kwa nini umevaa chupi ya mtoto? abiria walicheka mpaka kulaliana[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huyo jamaa nlienda kwenye harusi yake , aisee yaliyotokea huko

Cc manengelo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu leonimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nmerudi home hivi nikaona Leo nipulizie Air Fresh yenye Harufu ya Pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa Jirani wamehamia Mlangoni kwangu ndio wanacheza hapo. Kila nikitoka wananisalimia. Mama yao ndio kanimaliza kabisa nimetoka akaniambia
Kumbe wewe ni Mpishi mzuri, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sipendagiiiiii ujingaaaaaa mimi...
[emoji232][emoji100][emoji100]

Cc Mwifwa

manengelo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu leonimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
😆😆😆😆
Nmerudi home hivi nikaona Leo nipulizie Air Fresh yenye Harufu ya Pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa Jirani wamehamia Mlangoni kwangu ndio wanacheza hapo. Kila nikitoka wananisalimia. Mama yao ndio kanimaliza kabisa nimetoka akaniambia
Kumbe wewe ni Mpishi mzuri, 😂😂😂
Sipendagiiiiii ujingaaaaaa mimi...
🐀💨💨

Cc Mwifwa

manengelo

😂😂😂😂😂😂had nimetokwa tears😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Hahah mkuu Majivuno mda mwingn hayafai, jamaa mmoja alipanda daladala kidogo sim ikaita akaitoa mfukon alipoangalia akaona mke wake alikuwa anapiga, kwa kutaka kujionyesha akapokea simu na kuweka loud speaker akiwa na abiria wenzake, jamaa akauliza mke wangu muda huu umenimiss au tatizo nini nambie bac baby,mke akajibu sijakumiss nataka kujua kwa nini umevaa chupi ya mtoto? abiria walicheka mpaka kulaliana😆 😆 😆 😆 😆 😆 😂 😂 😂 😂

Huyo jamaa nlienda kwenye harusi yake , aisee yaliyotokea huko

Cc manengelo

😂😂😂😂😂😂huenda ana vitako km chips😂😂😂
 
Tulipigwa mzee hata hivyo nliwaambia msiweke harusi siku ya game ya liverpool hawakuelewa hafu harusi yenyewe ikaangukia fainali tukalambwa na madrid [emoji1][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi huwa sili kwenye sherehe kabisa, moja siwezi mambo yakuunga foleni ili nile wakati chakula nimeacha nyumbani.
 
Tunazungumzia way back,utoton hukooo
Mimi huwa sili kwenye sherehe kabisa, moja siwezi mambo yakuunga foleni ili nile wakati chakula nimeacha nyumbani.
 
Duuh jaman una good manner honhera dada,mwenzio nlkua mpole tatzo home hakukuwa na hutwu twumisosi sosi[emoji23]
Namimi nimejibu vyema, nipo hivi toka utotoni.
 
Back
Top Bottom