raphael andrew
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 817
- 938
[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah mkuu Majivuno mda mwingn hayafai, jamaa mmoja alipanda daladala kidogo sim ikaita akaitoa mfukon alipoangalia akaona mke wake alikuwa anapiga, kwa kutaka kujionyesha akapokea simu na kuweka loud speaker akiwa na abiria wenzake, jamaa akauliza mke wangu muda huu umenimiss au tatizo nini nambie bac baby,mke akajibu sijakumiss nataka kujua kwa nini umevaa chupi ya mtoto? abiria walicheka mpaka kulaliana[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo jamaa nlienda kwenye harusi yake , aisee yaliyotokea huko
Cc manengelo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu leonimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nmerudi home hivi nikaona Leo nipulizie Air Fresh yenye Harufu ya Pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa Jirani wamehamia Mlangoni kwangu ndio wanacheza hapo. Kila nikitoka wananisalimia. Mama yao ndio kanimaliza kabisa nimetoka akaniambia
Kumbe wewe ni Mpishi mzuri, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sipendagiiiiii ujingaaaaaa mimi...
[emoji232][emoji100][emoji100]
Cc Mwifwa
manengelo
Dah bibi harusi ukimuacha na nani? Na timu yako ilishinda game siku hiyo?Ooh nlkula sana kwenye harusi yangu hafu kulkua na game la epl
Nkatoroka ukumbini !
Tulipigwa mzee hata hivyo nliwaambia msiweke harusi siku ya game ya liverpool hawakuelewa hafu harusi yenyewe ikaangukia fainali tukalambwa na madrid 😄😅Dah bibi harusi ukimuacha na nani? Na timu yako ilishinda game siku hiyo?
Mkuu leonimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
😆😆😆😆
Nmerudi home hivi nikaona Leo nipulizie Air Fresh yenye Harufu ya Pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa Jirani wamehamia Mlangoni kwangu ndio wanacheza hapo. Kila nikitoka wananisalimia. Mama yao ndio kanimaliza kabisa nimetoka akaniambia
Kumbe wewe ni Mpishi mzuri, 😂😂😂
Sipendagiiiiii ujingaaaaaa mimi...
🐀💨💨
Cc Mwifwa
manengelo
Hahah mkuu Majivuno mda mwingn hayafai, jamaa mmoja alipanda daladala kidogo sim ikaita akaitoa mfukon alipoangalia akaona mke wake alikuwa anapiga, kwa kutaka kujionyesha akapokea simu na kuweka loud speaker akiwa na abiria wenzake, jamaa akauliza mke wangu muda huu umenimiss au tatizo nini nambie bac baby,mke akajibu sijakumiss nataka kujua kwa nini umevaa chupi ya mtoto? abiria walicheka mpaka kulaliana😆 😆 😆 😆 😆 😆 😂 😂 😂 😂
Huyo jamaa nlienda kwenye harusi yake , aisee yaliyotokea huko
Cc manengelo
hahaaha pole sana mkuu😂😂😂😂😂😂had nimetokwa tears😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hahaha ndo vipoje😂😂😂😂😂😂huenda ana vitako km chips😂😂😂
ntakuoneshaHahaha ndo vipoje
Oohntakuonesha
Namimi nimejibu vyema, nipo hivi toka utotoni.Tunazungumzia way back,utoton hukooo
Asante isipokua hapo kwenye dadaDuuh jaman una good manner honhera dada,mwenzio nlkua mpole tatzo home hakukuwa na hutwu twumisosi sosi[emoji23]