Tuliowahi kuvuta bangi tukutane hapa

Kwa experience ndogo na mashaka na ww "Kwa ufupi hujawah kujilipua.

10 min usihic chochote sound like ulijilpua na majani ya chai ukidhani na mjani otherwise ujui mziki wake ikiwa it's ya 1st time
 
Kwa experience ndogo na mashaka na ww "Kwa ufupi hujawah kujilipua.

10 min usihic chochote sound like ulijilpua na majani ya chai ukidhani na mjani otherwise ujui mziki wake ikiwa it's ya 1st time
1st time - 4th time yalikuwa majani?? Kama wewe ilikularua ni wewe. Kwa upande wangu bangi si lolote
 
Huu mmea wa ufunuo huwa unapakaziwa mambo mengi sana mabaya japo hakuna uhalisia katika hilo.
Ukiona mtu anakuwa wa hovyo baada ya kutumia mmea wa ufunuo, ujue huyo alikuwa ni wa hovyo tu hata kabla hajatumia mmea.
Ni kama kusema ukinywa pombe eti unakuwa mgomvi au kusema zinahamia chini, mbona hatujawahi kuziona Safari na Castle Lite zikiwa kwenye Jokofu la Bar zinagombana au zinafanyana mchezo mbaya?
 
Hii ya kuvuta wengi na kuzungusha ndio story iliyowaingiza vijana wengi kwenye utumiaji wa heroine..sad story ya msanii wetu mmoja mkubwa t naemfaham vizuri Sana ndio washkaji zake walivyomuingiza Ivo bila mwenyew kujua.
 
niliambiwa endapo mbwa ukimpa hio kitu anakuwa mkali ila cha ajabu sijawahi fuga mbwa koko kama yule niliempa mjani hamna kitu labda zina series tunayoipata sisi ni underground sitarudia tena
 
Nahisi hukuvuta bangi mkuu ulivuta makapi siwezi kusahau hii kitu ilitaka nichanganyikiwe mazima au kuwa chizi kabisa Kuna mawili nilikuwa naenda kuwa chizi au naona nakufa kabisa.👐👐
 
[emoji38][emoji119]
 
Stimu yake ikoje? Sijawahi hiyo kitu wala sigara ila pombe za Kila aina nimegusa
 
Nahisi hukuvuta bangi mkuu ulivuta makapi siwezi kusahau hii kitu ilitaka nichanganyikiwe mazima au kuwa chizi kabisa Kuna mawili nilikuwa naenda kuwa chizi au naona nakufa kabisa.
hizo bangi mnazonunua itakuwa mnawekewa na mavi yaliyokauka! Sio hivi hivi
 
Stimu yake ikoje? Sijawahi hiyo kitu wala sigara ila pombe za Kila aina nimegusa
kama pombe umeshatumia za kila aina basi bangi haiwezi kukuzuzua! Nilichokuja kugundua (baadae sana) bangi inakupa utulivu wa fikra. Hzo zingne ni propaganda
 
kama pombe umeshatumia za kila aina basi bangi haiwezi kukuzuzua! Nilichokuja kugundua (baadae sana) bangi inakupa utulivu wa fikra. Hzo zingne ni propaganda
Duh unanivuta sema tangu nikiwa mdogo naona kuvuta sijui imeaaje. Hiki kichwa changu labda nitakivutia jani one day
 
Duh unanivuta sema tangu nikiwa mdogo naona kuvuta sijui imeaaje. Hiki kichwa changu labda nitakivutia jani one day
tafuta bangi natural achana na hzi za vichochoroni wanazovuta waliokata tamaa, hizo zimewekewa midawa mingine
 
Hii ya kuvuta wengi na kuzungusha ndio story iliyowaingiza vijana wengi kwenye utumiaji wa heroine..sad story ya msanii wetu mmoja mkubwa t naemfaham vizuri Sana ndio washkaji zake walivyomuingiza Ivo bila mwenyew kujua.
Sio bangi tu hadi gongo, kibuku, Pombe Pombe za kienyeji km Mbege, kuzungusha komichi ni lazima, unapiga Tama za Pombe kidogo unazungusha KOMBE
 
tafuta bangi natural achana na hzi za vichochoroni wanazovuta waliokata tamaa, hizo zimewekewa midawa mingine
Natural herb zipo Ila Cha kumshauri avute kiistarabu street bange zinaota vichakani tu na watu hawana time Ila wahuni wakiziona wanazichukua wenyewe wanaita mlenda pori kumbe bange
 
Mkuu kunakuwaga na sababu za kiroho ndio sababisho lakini sio bangi kama bangi .uwenda alichezewa kwanza kabla maana asipoxhezewa mtu huwa haanzi tu moja kwa moja mpaka awe ivyo ila kunakuwaga na yasiri yaliyosababisha hasa wale ambao unakuta walikuwa vizuri sana kielimu.
Ila sasa sababu anavuta bangi ndio inaonekana kama ndio sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…