Mimi Ni Mtu Wa Mungu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 679
- 1,295
anayesema akivuta ganja anaona mawenge anakuwa anadanganyaninyi mmekuja kunipinga oh hukuvuta bangi,,ulivuta mashudu! Oh kapirimpyempye sana!!
Je hyo kitu ya arusha kulingana na uorignal wake, wanavuta kina nani?? Maana nyie mlitegemea niwambie kuwa niliona mawenge ambayo mimi sikuyaona.
Hao watu wavutao bangi hyo hgh grade bado wana akili timamu au vichaa?? Wanavuta kina nani???
raha ya ganja ni kusizi na kutafakari mambo kwa kina hakuna mawenge hizo ni stori tu