Tuliowahi kuvuta bangi tukutane hapa

Tuliowahi kuvuta bangi tukutane hapa

Kwenye suala la uvutaji wa sigara bwege, watu wengi ni wanafiki.
Mtu hajawahi kuvuta anasema ameshavuta, na anaelezea vitu ambavyo havitokei ukivuta bangi.

Siku ukivuta bangi yenyewe, hurakuja kuzungumza hapa utapata curiosity, na utaquestion kil kitu ulichoaminishwa kwenye maisha yako . Kwa kifupi utazaliwa upya utakuwa timamu zaidi.
Asiejua maana haambiwi maana hawa ndio wale hujitia wavutaji kumbe hawajahi alafu wakipewa wavute wanashindwa kutembea wenyewe wanaanza kulia njiani tena wahuni walivyo washenzi watu km hawa wanawavutisha mchana wa jua kali
 
shauri yako kaa na imani yako
Kelele nyingi point za msingi hakuna...
FA8153C3-EBEA-4070-A194-7CD02993EEF2.jpeg
 
Haelewi huyo mweleweshe vizuri atapigwa kitu ashindwe kunyanyuka kuna watu wanajua kupiga mkono kitu kinanyongwa ukija kuvuta unajisikia mujarabu kabisa
kina nani haoo?? Vichaa?
 
Asiejua maana haambiwi maana hawa ndio wale hujitia wavutaji kumbe hawajahi alafu wakipewa wavute wanashindwa kutembea wenyewe wanaanza kulia njiani tena wahuni walivyo washenzi watu km hawa wanawavutisha mchana wa jua kali
wewe ili ufurahi; niseme "sijavuta!" hata hvyo hoja yangu sio kuvuta ama kutokuvuta
 
ni kweli wewe ni empty, unajijuwa
Kuna wenzio walikua wanajifanya hivyo hivyo kwamba wao ni magwiji jamaa akaenda shop akanunua keki za bangi najua haujui km zipo Ila kuna keki za bangi yaan km ile unayokata ukumbini yes Ila ni bangi tupu akawapelekea awaone basi wajinga si wakala keki yote kilichofuata ilikua simulizi kuna mjinga alikua anakawaida ya kutuletea vidusko vikeki vidogo vimekaangwa na bangi (mbegu za bangi zinaswagwa zinamixiwa kwenye unga wa ngano) dusko zinakaangwa zikitoka hapo mnakula bangi
 
unavyoizungumzia bangi sasa [emoji3] "bangi" "bangi" "keki za bangi" BANGI NI MBOGA najuwa hujuwi!

endelea kuangalia movies
 
Hizi ni mbwembwe tu, kwanza mbegu za bangi zina mafuta sana hivyo kuwasha mbegu pekee haiwezekani lazima msokoto uzime. We fikiria kama mtu unavuta bangi(majani) ikifika sehemu yenye mbegu kwenye msokoto moto unalipuka alafu baada ya hapo inazima.

Dogo haya mambo tupo ma legend ila tulishaacha long. Kifupi bangi haina issue ni ujana tu.
hivi unapovuta mbegu ikibasti ile paaaa!! inakuaje
 
unavyoizungumzia bangi sasa [emoji3] "bangi" "bangi" "keki za bangi" BANGI NI MBOGA najuwa hujuwi!

endelea kuangalia movies
Nyinyi ndio hua mnafirwa siku ya kwanza baada ya kuvuta bangi sababu ya usenge wa kujifanya kujua
 
Back
Top Bottom