Tuliowahi kuvuta bangi tukutane hapa

Tuliowahi kuvuta bangi tukutane hapa

Acha uongo, haiwezekan kufunga bangi for the first time bila kuona
kuona mawenge hakusababishi na bangi, chukua karatasi, ichome moto; moshi wake uvute puani uone nini kitatokea. Je hyo ni bangi?
 
Mungu mwema

Nilivutwa road nusu matema beach inipitie nilijiona natembea haraka kumbe nanata balaaa (mgando sio mgando)
 
Kuna mwenzio siku ya kwanza tu kuvuta aliomba kufirwa na masela wote aliovuta nao tena anaomba kwa kilio kabisa 'naombeni mnifireee' huku analia machozi na walimfira kweli ilikua kesi nzito mtaani walikamatwa wote waliomfanyia ule mchezo mchafu Bwana mdogo kisa bangi,

Siku niliyoenjoy kula mmea ni siku nipo Chuo nakumbuka kuna mwamba ye alikua ananunua bangi alafu anachukua mbegu tupu na konyagi bapa kubwa ananyonga mbegu za bangi msokoto akimaliza analipua akishalipua anashushia na bapa la konyagi, don't try this at home mamen utakufa mapema jamaa kuna siku alinyoga misokoto mitatu usichokijua utamu wa bangi mvute wengi yaan usivute peke yangu ili usishikwe na wenge, Ila pafu pafu pafu pass pafu pafu pafu pass pafu pafu pafu pass mko wanne au watatu bangi inakua tamu sana, sasa jamàa msokoto mzima anakula peke yake na bapa pembeni jamaa alizima, narudia bangi alikua ananunua kisha anachukua mbegu tu anaroll kisha analipua umeme mbegu zinaenda kubust kwenye ubongo plus nyagi km yupo peponi vile alizima siku 2 hajitambui unacheza na bangi kaja kushtuka yupo hospital katundikwa dripu ya maji
Hii niliijaribu siku moja nilisikia kama mbegu zinapasukia kwenye ubongo[emoji28][emoji28][emoji28] japo nilikula pafu kadhaa
 
Hizi ni mbwembwe tu, kwanza mbegu za bangi zina mafuta sana hivyo kuwasha mbegu pekee haiwezekani lazima msokoto uzime. We fikiria kama mtu unavuta bangi(majani) ikifika sehemu yenye mbegu kwenye msokoto moto unalipuka alafu baada ya hapo inazima.

Dogo haya mambo tupo ma legend ila tulishaacha long. Kifupi bangi haina issue ni ujana tu.
Mzee anawasha na kiberiti cha Gesi km lil Wayne haujaelewa bado ikibust ndio utamu wenyewe huo anavuta ikiwa km inazima anawasha tena eenhe hivyo au unataka upige tizi ?
 
Unaijua rizla kwanza ? Kifungashio Cha Tumbaku Cha zamani ambacho kimeachwa kiendelee kutumika kwa matumizi ya kunyongea bangi
inaongeza nini au inapunguza nini kwenye bangi yenyewe (unga)?? Maana ulinicheka kwamba nilitumia gazeti
 
Kwenye suala la uvutaji wa sigara bwege, watu wengi ni wanafiki.
Mtu hajawahi kuvuta anasema ameshavuta, na anaelezea vitu ambavyo havitokei ukivuta bangi.

Siku ukivuta bangi yenyewe, hurakuja kuzungumza hapa utapata curiosity, na utaquestion kil kitu ulichoaminishwa kwenye maisha yako . Kwa kifupi utazaliwa upya utakuwa timamu zaidi.
 
Kunywa safari lager, huku ukifurahia Jagwa,bila kusahau chimbwanga na ule mjani lager pembeni.
Nalog off
 
Hizi ni mbwembwe tu, kwanza mbegu za bangi zina mafuta sana hivyo kuwasha mbegu pekee haiwezekani lazima msokoto uzime. We fikiria kama mtu unavuta bangi(majani) ikifika sehemu yenye mbegu kwenye msokoto moto unalipuka alafu baada ya hapo inazima.

Dogo haya mambo tupo ma legend ila tulishaacha long. Kifupi bangi haina issue ni ujana tu.
well said mkuu! Na huo ndiyo UKWELI
 
Mzee anawasha na kiberiti cha Gesi km lil Wayne haujaelewa bado ikibust ndio utamu wenyewe huo anavuta ikiwa km inazima anawasha tena eenhe hivyo au unataka upige tizi ?
Naona huu uzi una mlengo wa kuhamasisha uvutaji bangi.

Nilishatoka level hizo, utawapata machalii wenzako.
 
Hizi ni mbwembwe tu, kwanza mbegu za bangi zina mafuta sana hivyo kuwasha mbegu pekee haiwezekani lazima msokoto uzime. We fikiria kama mtu unavuta bangi(majani) ikifika sehemu yenye mbegu kwenye msokoto moto unalipuka alafu baada ya hapo inazima.

Dogo haya mambo tupo ma legend ila tulishaacha long. Kifupi bangi haina issue ni ujana tu.
Mkuu anayevuta mbegu sio anatoa majani yote.... anaacha kadhaaa ila mbegu zinakuwa nyingi zaidi kuliko majani na ndio maana kuna watu ambao hawavuti bangi ambayo imesokotwa na wengine[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Shida yenu mnavuta bushi weed halafu mnakuja piga keleleee weeeeeh!

Skia tafuta skunk...High grade from Soweto...Just one puff and feel that space 🤣🤣
A0B441D9-334C-4C18-93E3-F13F0CEF6529.jpeg
 
Halafu Mkuu tokea nimekuuliza maswali yangu hujajibu hata moja........

Hapa yenyewe nimekuuliza ulivutia kwenye gazeti ila mpaka sa hivi hujanijibu
nimekujibu ngoja nikujibu tena; NDIYO.
kwa mara ya kwanza nilivutia kwenye gazeti (for the first)

Ukaja na habali za risla. (nimetumia pia) Nikakuulza; risla inaongeza/inapunguza nini?? Hujajibu pia
 
Hii niliijaribu siku moja nilisikia kama mbegu zinapasukia kwenye ubongo[emoji28][emoji28][emoji28] japo nilikula pafu kadhaa
hofu zako tu mkuu! vuta kwa kujiamini
 
Mkuu anayevuta mbegu sio anatoa majani yote.... anaacha kadhaaa ila mbegu zinakuwa nyingi zaidi kuliko majani na ndio maana kuna watu ambao hawavuti bangi ambayo imesokotwa na wengine[emoji28][emoji28][emoji28]
Haelewi huyo mweleweshe vizuri atapigwa kitu ashindwe kunyanyuka kuna watu wanajua kupiga mkono kitu kinanyongwa ukija kuvuta unajisikia mujarabu kabisa
 
Kwenye suala la uvutaji wa sigara bwege, watu wengi ni wanafiki.
Mtu hajawahi kuvuta anasema ameshavuta, na anaelezea vitu ambavyo havitokei ukivuta bangi.

Siku ukivuta bangi yenyewe, hurakuja kuzungumza hapa utapata curiosity, na utaquestion kil kitu ulichoaminishwa kwenye maisha yako . Kwa kifupi utazaliwa upya utakuwa timamu zaidi.
shauri yako kaa na imani yako
 
Back
Top Bottom