Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Kuna binti mmoja mke wa mtu ndio nilikuwa nachat nae sana pm lkn toka anitamkie maneno mabaya sitaki hata kumuona [emoji16][emoji16]

Hahahhaha poleeee, mie sina hamu na PM

Ilishanifanya nikakesha hadi kunakucha. .....

Ilishanifanya nikashinda njaa kutwa nzima.....

Ilishanifanya nikachelewa mahali.....

Sina hamu na PM....

Ngoja waje walionisababishia yote haya kama watajitaja. Tatizo langu ni kuwa napenda sana kuongea siwezi kuacha kuongea.
 
Ngoja waje walionisababishia yote haya kama watajitaja.
Pole sana.

Mimi Pm siku hizi nipo nayo makini sana sababu ya double ID mtu unachat nae kwa ID hii halaf anakuja na ID yake ya pili kukuchora....[emoji35] [emoji35]
 
Hahahhaha poleeee, mie sina hamu na PM

Ilishanifanya nikakesha hadi kunakucha. .....

Ilishanifanya nikashinda njaa kutwa nzima.....

Ilishanifanya nikachelewa mahali.....

Sina hamu na PM....

Ngoja waje walionisababishia yote haya kama watajitaja. Tatizo langu ni kuwa napenda sana kuongea siwezi kuacha kuongea.
aiseee
 
Nikiona post za kasie nakua na hali mbaya.
 
Back
Top Bottom