Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Niliowafuata Pm
Evelyn Salt huyu anaringa kama anakunya keki hadi akawa hanijibu nikamuuliza yaani hadi mimi
alichonijibu sasa
espy huyu nilifanikiwa
Madame B huyu nilifanikiwa
Mama Sabrina ananijibu kwa mkato
Mzigua90 nahisi mimi ndio ananifungulia thread humu
Sky Eclat huyu anamuachiaga mumewe achati na mimi
miss chagga yaani salamu tu naambiwa nitume hela ya vocha kwanza

nitaendelea
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Sikumbuki kama ile ilikua yako mkuu
 
Sema pm kuna mengi. Kuna mtu hata usimpojibu atakuja tena kesho na kesho kutwa. Kuna mmoja huyo alinisalimia siku ya kwanza nikarespond. Baadae nikaacha kumjibu msg zake alichoniandikia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Eti bahati yako nilitaka nikutie kama nilivyomtia ......... mpaka akaumwa. Akasema alimtia siku mbili. Nilichekaa hadi nikamjibu tu ili anielezee huyo member walitiana vipi. Akasema we muulize tu anaujia mziki wangu. Pm kuna vichaa wengi sana
mambo suzan
 
Hahaaa. Mie ntajitolea Kaka sababu unapitwa na Vingi.

Sababu Urafiki, undugu, Ukaka, Udada, Uchumba unaunganishwa na PM sababu ndio watu wanaanzia huko baadae wanahamia sehemu iliyo salama zaidi nje ya Jf.
Kweli lakini wengine wanashindwa kuelewa kule ni kama huku mtaani tu. Kuna mtu mtakua mshkaji mwingine atakua beb mwingine atakua mtoto kaka dada etc na wengine pia huwez kuclick nao. Mwingine akija pm anataka mzoeane wakati wewe unaona kabisa huwezi kumfanya hata kuwa babu yako. Kuna watu wanakuja pm wanachat kishkaji kabisa hamna hata kuombana namba
 
Back
Top Bottom