Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kweli lakini wengine wanashindwa kuelewa kule ni kama huku mtaani tu. Kuna mtu mtakua mshkaji mwingine atakua beb mwingine atakua mtoto kaka dada etc na wengine pia huwez kuclick nao. Mwingine akija pm anataka mzoeane wakati wewe unaona kabisa huwezi kumfanya hata kuwa babu yako. Kuna watu wanakuja pm wanachat kishkaji kabisa hamna hata kuombana namba
Umeonaeee. Kweli kabisa.
Na unaweza kuta mtu hata namba yake huna ila mmezoweana kama mshawahi onana vile.