Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Pole sana.

Mimi Pm siku hizi nipo nayo makini sana sababu ya double ID mtu unachat nae kwa ID hii halaf anakuja na ID yake ya pili kukuchora....[emoji35] [emoji35]
Hiyo ni sababu kuu kwangu inanifanya niigope PM japo mara nyingine najiaminisha kwamba hali hiyo haitakuja kunitokea nikiamini kwamba wale ninaowasiliana nao Hilo hawatalifanya.
 
sitasahau kuna dada aliandika anatafuta kampan na mtu wa kujirusha nae...nikajiona mjanja nikaenda pm fasterr...kimbembe yeye yupo dar mimi mkoa mwingine...yeye anakuaga sana bussy ila tulienda ivo ivo mpaka whatsApp...nilichokuja kuharibu niliweka dp inayoonyesha timetable ya UE(university exam) kipindi nipo chuo..
hapo hapo akasema ha date wanafunzi[emoji23][emoji23][emoji23]...nikakosa papuchi jamani[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom