Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] pm kuna mambo...kuna watu ni wasumbufu yaani we acha tu. Wapo wale anakuja anakutumia pm ya kwanza kukusalimia ukimjibu meseji ya pili anataka kujua unapatikana wapi, ya tatu anaomba namba ya simu...ukishafika hapo nakupotezea sikujibu tena
Kuna mmoja kaja juzi bila hata salamu eti demi nakutaka. Kha! Nikaishia kucheka tu
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] safi sana rafiki. Ukiona hivyo basi jua kwa asilimia zote na wewe unajielewa rafiki.

Hili ni funzo kwa wale wanaoleta maneno machafu kwenye PM za wenzao ili wajue wapo wanaojielewa na wastaarab wengi tu na wanakwenda na kupokelewa pia.

Mie Pia namshukuru Mwenyezi Mungu sijawahi kukaa na kuijutia Pm yangu. Hahaaaaa.
Mbona pm yako nayo imefungwa swahiba![emoji1]
 
sitasahau kuna dada aliandika anatafuta kampan na mtu wa kujirusha nae...nikajiona mjanja nikaenda pm fasterr...kimbembe yeye yupo dar mimi mkoa mwingine...yeye anakuaga sana bussy ila tulienda ivo ivo mpaka whatsApp...nilichokuja kuharibu niliweka dp inayoonyesha timetable ya UE(university exam) kipindi nipo chuo..
hapo hapo akasema ha date wanafunzi[emoji23][emoji23][emoji23]...nikakosa papuchi jamani[emoji3]
Hahahahah,,, htk kibenten
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pm kuna mambo...kuna watu ni wasumbufu yaani we acha tu. Wapo wale anakuja anakutumia pm ya kwanza kukusalimia ukimjibu meseji ya pili anataka kujua unapatikana wapi, ya tatu anaomba namba ya simu...ukishafika hapo nakupotezea sikujibu tena

Mkuu siku nyingi sana sijakuona jukwaani ngoja nije kule PM nikusalimie vizuri. Hahahahah.
 
Guys Pm ndo mtaa gani nielekeze na me nikapate rahaaa.....maana kwa ushuhuda huu....huu mtaaa co wa injiii hiii ni tupu...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pm kuna mambo...kuna watu ni wasumbufu yaani we acha tu. Wapo wale anakuja anakutumia pm ya kwanza kukusalimia ukimjibu meseji ya pili anataka kujua unapatikana wapi, ya tatu anaomba namba ya simu...ukishafika hapo nakupotezea sikujibu tena
kuomba no ya simu kawaida[emoji20] lkn japo inategemea ni kwa mlengo ganii!
 
Back
Top Bottom