Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kuna mmoja kaja juzi bila hata salamu eti demi nakutaka. Kha! Nikaishia kucheka tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] pm kuna mambo...kuna watu ni wasumbufu yaani we acha tu. Wapo wale anakuja anakutumia pm ya kwanza kukusalimia ukimjibu meseji ya pili anataka kujua unapatikana wapi, ya tatu anaomba namba ya simu...ukishafika hapo nakupotezea sikujibu tena