Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] pm kuna mambo...kuna watu ni wasumbufu yaani we acha tu. Wapo wale anakuja anakutumia pm ya kwanza kukusalimia ukimjibu meseji ya pili anataka kujua unapatikana wapi, ya tatu anaomba namba ya simu...ukishafika hapo nakupotezea sikujibu tena
 
Pm yangu imejaa watu wastaarabu tupu. Watu wanaojielewa. Congrats my PM members!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] safi sana rafiki. Ukiona hivyo basi jua kwa asilimia zote na wewe unajielewa rafiki.

Hili ni funzo kwa wale wanaoleta maneno machafu kwenye PM za wenzao ili wajue wapo wanaojielewa na wastaarab wengi tu na wanakwenda na kupokelewa pia.

Mie Pia namshukuru Mwenyezi Mungu sijawahi kukaa na kuijutia Pm yangu. Hahaaaaa.
 
Back
Top Bottom