Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Yaan wewe ebu acha kujishtukia me ndio nilianza kukufata pm mm kwahiyo ningekuwa sitaki nisingekufata bada ya kusema una shida na mm naanzaje kukusema ukiona naongea kuhusu pm ni mambo ya zamani kabla sijaifunga huko
Hahaha,nimekutania bana mimi na wewe tena naanzaje kuacha kusalimia mimi.
Hata kama sina pesa nitakuja tu.
 
ukimpa mtu, watu wenyewe Hawa mazuzu magic kesho utashangaa thread mpya. Nimelala Na mwana Jf fulani Tukuyu yake mbayaaaaaa inanukaaaaaa
Hakiii tena. Kumpa mtu huku inataka moyo. Ndo nakuangalia nani unampa. Unawekewa thread unaweza ukajiua.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aiseee,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…