Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Hahaha,nimekutania bana mimi na wewe tena naanzaje kuacha kusalimia mimi.Yaan wewe ebu acha kujishtukia me ndio nilianza kukufata pm mm kwahiyo ningekuwa sitaki nisingekufata bada ya kusema una shida na mm naanzaje kukusema ukiona naongea kuhusu pm ni mambo ya zamani kabla sijaifunga huko
Hata kama sina pesa nitakuja tu.