Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

aiseeeee hahaaaaa
 
hahaaaaa
 
Acha na mm niandike kitu!!

Unanijua nakujua ..tumefanana sana tu na bado nakutafuta lkn niliposafiri kwenda Nairobi na baadae Kampala nilipata ajali nikapoteza cm zote na nyaraka zingine.
.Niliporudi Tanzania nika-renew line na ku-activate kila kilichotakiwa.
Shida kubwa mpaka sasa ni kwamba INBOX YANGU HAIFUNGUKI(Hata sijui kwanini) kwahiyo nashindwa kupata namba zako.
Na bila shaka PM yako umeifunga...nashindwa kukupata ndugu/rafiki na mshirika wangu.

Tafadhali njoo PM tafadhali.
Nina safari ya South Sudan end of this month kama nitajaaliwa so usichelewe ili kabla sijasafiri tukutane as we promised.

Kuingia PM mkakuta mnafanana ni bahati kubwa siprndi kuipoteza wala usipende kupoteza.
 
mimi sijui Nipo kundi lipi hapo ..daahhh buji buji kaleta kizai Zai leo ..
 
Kumbe PM kuna raha eh! Ngoja na mimi nitajaribu siku moja.
 
Kupitia PM nimekutana na watu ambao hawafananii hata kidogo kwa Avatar, ID na ata waongeavyo.
PM raha sana siwezi acha kuja kutumia..
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

Kwasasa natafuta passcode ya Kasie mahaba matataπŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…