Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaaa. Duuh.Nipo,tupe taarifa yako ya pm!
Sina hata kwakweli. Napambana na Avatar yangu usiyoipenda. Hahahaaaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa. Duuh.Nipo,tupe taarifa yako ya pm!
aiseeeee hahaaaaaSema pm kuna mengi. Kuna mtu hata usimpojibu atakuja tena kesho na kesho kutwa. Kuna mmoja huyo alinisalimia siku ya kwanza nikarespond. Baadae nikaacha kumjibu msg zake alichoniandikia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Eti bahati yako nilitaka nikutie kama nilivyomtia ......... mpaka akaumwa. Akasema alimtia siku mbili. Nilichekaa hadi nikamjibu tu ili anielezee huyo member walitiana vipi. Akasema we muulize tu anaujia mziki wangu. Pm kuna vichaa wengi sana
asante Evelyn lkn tayari nimeshafunzwa,Nakuja pm kukufundisha matumizi
hahaaaaasitasahau kuna dada aliandika anatafuta kampan na mtu wa kujirusha nae...nikajiona mjanja nikaenda pm fasterr...kimbembe yeye yupo dar mimi mkoa mwingine...yeye anakuaga sana bussy ila tulienda ivo ivo mpaka whatsApp...nilichokuja kuharibu niliweka dp inayoonyesha timetable ya UE(university exam) kipindi nipo chuo..
hapo hapo akasema ha date wanafunzi[emoji23][emoji23][emoji23]...nikakosa papuchi jamani[emoji3]
Hujaniudhi bwana kaka. Itabidi nianze kukumbuka sababu nimekususa kweli aisee. Pole.Japo umenisusa sana jmn, kama nimekuudhi sema hapa hapa tu jmn
Lazima wakusumbue tu hakuna namnaMimi nasumbuliwa na menzangu
Kumbe mi mstaarabu. Ndo nimejua leo
kuwa muongo anko hakuna sehemu ya kuandika ukweli kwenye internetSasa anko nimwambieje tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuwa muongo anko hakuna sehemu ya kuandika ukweli kwenye internet
Hahaaa nini tena bestUnaniangusha best ujue. Hahaahaaa.
mimi sijui Nipo kundi lipi hapo ..daahhh buji buji kaleta kizai Zai leo ..Kweli lakini wengine wanashindwa kuelewa kule ni kama huku mtaani tu. Kuna mtu mtakua mshkaji mwingine atakua beb mwingine atakua mtoto kaka dada etc na wengine pia huwez kuclick nao. Mwingine akija pm anataka mzoeane wakati wewe unaona kabisa huwezi kumfanya hata kuwa babu yako. Kuna watu wanakuja pm wanachat kishkaji kabisa hamna hata kuombana namba
Sioni ukitiririka best. [emoji85]Hahaaa nini tena best
Usitupunguzie fursa bhana
hahaaaaHivi hiyo PM ndio ipo jukwaa gani wakuu.....
Maana nilisha hangaika sana tafuta kuona hilo jukwaa la PM, lakini niliishia kuambulia patupu.....
Kuja hapa na huyo avatar yako Leo imenifanya nimekuja pmNapita Kwa wogaaaaa
Bwahahhahhhhhhhah
Shenzi zaoo!Lazima wakusumbue tu hakuna namna