Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

hahaha[emoji23][emoji28][emoji23] kuna watu mshipa wa aibu na ufahamu umekatika aisee duuh!
hahaa siana chukulia kuwa haumuoni ..so hiyo inakuwa ni advantage kwake yakujitoa akili ..na huwenda ikawa ana I'd kama mbili Hivi ..huku anajifnya mstaarabu kama Malcolm Lumumba upnde wa I'd nyingine anajichetua tu kama Beira boi
 
Wengi kutakana ila wengine wanakuja kirafiki kabisa na mwingine hata kukutaka anakutaka kistaarabu mnakataana kistaarabu mnaendelea kuchat kistaarabu bado. Wengine jamani. Daaah. Mtu anakwambia anataka kufanya nini sijui tena bila hata salamu.
Oohhh🙄🙄
 
Bora anaeanza na salamu kuna mwingine anaibuka tu "we lazma nikut*mbe wewe" unawaza hili ni popobawa au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…