Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

hahaha[emoji23][emoji28][emoji23] kuna watu mshipa wa aibu na ufahamu umekatika aisee duuh!
hahaa siana chukulia kuwa haumuoni ..so hiyo inakuwa ni advantage kwake yakujitoa akili ..na huwenda ikawa ana I'd kama mbili Hivi ..huku anajifnya mstaarabu kama Malcolm Lumumba upnde wa I'd nyingine anajichetua tu kama Beira boi
 
Wengi kutakana ila wengine wanakuja kirafiki kabisa na mwingine hata kukutaka anakutaka kistaarabu mnakataana kistaarabu mnaendelea kuchat kistaarabu bado. Wengine jamani. Daaah. Mtu anakwambia anataka kufanya nini sijui tena bila hata salamu.
Oohhh🙄🙄
 
431952.jpg
uju nakuchanganya na demi ..yani wewe kamwili hako nakumwagia asali kwanza afu nailamba lamba yote kama nilivyomfanya mzigua
Aiseee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pm kuna mambo...kuna watu ni wasumbufu yaani we acha tu. Wapo wale anakuja anakutumia pm ya kwanza kukusalimia ukimjibu meseji ya pili anataka kujua unapatikana wapi, ya tatu anaomba namba ya simu...ukishafika hapo nakupotezea sikujibu tena
Bora anaeanza na salamu kuna mwingine anaibuka tu "we lazma nikut*mbe wewe" unawaza hili ni popobawa au
 
Back
Top Bottom