Acha na mm niandike kitu!!
Unanijua nakujua ..tumefanana sana tu na bado nakutafuta lkn niliposafiri kwenda Nairobi na baadae Kampala nilipata ajali nikapoteza cm zote na nyaraka zingine.
.Niliporudi Tanzania nika-renew line na ku-activate kila kilichotakiwa.
Shida kubwa mpaka sasa ni kwamba INBOX YANGU HAIFUNGUKI(Hata sijui kwanini) kwahiyo nashindwa kupata namba zako.
Na bila shaka PM yako umeifunga...nashindwa kukupata ndugu/rafiki na mshirika wangu.
Tafadhali njoo PM tafadhali.
Nina safari ya South Sudan end of this month kama nitajaaliwa so usichelewe ili kabla sijasafiri tukutane as we promised.
Kuingia PM mkakuta mnafanana ni bahati kubwa siprndi kuipoteza wala usipende kupoteza.