Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
wewe mbona unapenda kunifata fata lakini/? si utulie kama mzigua yeye hanifati fati amespata dawa yake katulia kimya . hutaki wengine wafaidiNyoooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe mbona unapenda kunifata fata lakini/? si utulie kama mzigua yeye hanifati fati amespata dawa yake katulia kimya . hutaki wengine wafaidiNyoooo
Nikakausha😱😱😱😱 Ukamjibuje jolie!?
Hahaaa kumbe nawe PM yako haina mambo mengi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]hahaaa itakuwa ni nabii tito huyo
hahaaa6.7924° S, 39.2083° E nimewasha gps
Vijana wakisha onja utamu wanakuwa Na ngebe Na kejeli za Hali ya juuhahaaaa ...then read comment sasa
waweza kunyofoka MBAVU ubavuni ..hahaaa daaahh
Wanataka kyu..maAcha utani niwape avatar
mimi niliwahi mtokea Cassie wakati wa ile avatar yake bomba ya mwanzo lakini to aweke avatar bibi kikongwe walaHahahhaha poleeee, mie sina hamu na PM
Ilishanifanya nikakesha hadi kunakucha. .....
Ilishanifanya nikashinda njaa kutwa nzima.....
Ilishanifanya nikachelewa mahali.....
Sina hamu na PM....
Ngoja waje walionisababishia yote haya kama watajitaja. Tatizo langu ni kuwa napenda sana kuongea siwezi kuacha kuongea.
Safi sana hiyo, hongera zako best[emoji122] [emoji122]Aiseee haina best niko kama wewe tu sababu karibia wote ninaochat nao wanajitambua.
khaHahahahaa
Ahsante sana best nawe pia hongera.Safi sana hiyo, hongera zako best[emoji122] [emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani wewe ndio ulinikataa eti unapenda vi lemutuz Na mimi nina pande la muhogo
HahahahaaaMxxiee...mbona husemi ulivyonisumbua we nyau
nishawaacha wote tangu nilivyokufikiria weweShart la kukubaliwa ni mpaka uwaache wale woote
vibaya mnooo ..msambwanda ni habari nyingine aiseee ..usiombe demu mwenye msambwanda kama huo alalie tumbo..hapo ndio utajua kuwa macho yako nimakubwa kama golfWatu wanapenda matakoo
Mambo bestHahahahaaa
[emoji23] [emoji23]We mama akili unapeleka wapi yani we ni michambo daily!!
sasa yanauma vipi mkuu...wakati hata kushirikiana nae as mapenzi yanavyotka unakuwa hujashiriki nae...yaani hujawahi sex nae ..hujawahi shirikiana nae movement muhimu kabisa ambazo mapnzi huwa yanahitaji..WAANZAJE KUUMIA SASA ..HUO UTAKUWA NI UBOYA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah,huyu bila shaka alikuwa dada yake nduli, hawezi kukufanyia unyama huo mtoto wa mwanamke mwenzake, mapenzi yanauma jamani, yaani mtu amekuvuta mpaka kileleni halafu anakuachia kama jiwe ghorofani,pole sana mwanafunzi wa UD