Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Mipaka ni lazima. Kuna mijitu haina akili inataka urafiki nje ya jf ukiikaribisha lazima wakuharibie..utasikia mlio wa msg saa 8 usiku...i miss u. Wajinga kabisa! Mimi urafiki na mwanaume nje ya jf siufagilii hata kidogo. Wengi ni under 20, zero brain!
Kuna swaga unazo penda ndomana unakumbana na under 20 sio bure
 
Wanawake kweli hamueleweki....tukija kwa pozi salamu mara tatu kwa siku mnatuponda! Tukija direct 'nataka niku.....mbe' bado mnalalamika!
Tuwekeeni mwongozo wa tongozo basi....
Hii imenishanhaza mana kuna sikua walikua wanalalamika wanasalimiwa sana badala ya mtu kufikisha kilicho mpeleka mimi ngoja nitazame tu
 
Mimi kati ya PM nilizonazo ambazo ni za KE wao ndio wamenifuata na ninachat nao kwa wema kabisa, ninapiga nao story vizuri sana na kufurahi kwa pamoja.

Wapo hawana subiri wanakuna pupa kufuata wenzio PM matokeo yake wanaishia kujibiwa hovyo kulingana na gia aliyoingia nayo, ila ukiingia taratibu mtaelewana vizuri tu bila shida yoyote.

Kingine inachowaboa watu, mtu akiingia PM anakuwa na haraka ya kutaka kumjua mtu kwa undani zaidi na kuomba namba ya simu hapo hapo, kitendo ambacho kinapelekea PM kuvunjika mapema.
Hiki ndo kinaitwa kismati bila shaka
 
Hii imenishanhaza mana kuna sikua walikua wanalalamika wanasalimiwa sana badala ya mtu kufikisha kilicho mpeleka mimi ngoja nitazame tu
Na nyie mnakua kama hamtujui dada zenu. Sisi wenyewe kuna muda hatujielewi. Kuna mtu ukimfuata umwambie kama nakutaka tukalane kama anakuelewa wala hamind. Mwingine ukimwambia hivyo unakula na block. We utakachokutana nacho huko pm kipokee tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bwana mtu aje pm kistaarabu tu. Salamu mara moja. Mwaliko wa wine na nini. Lakini ukija na pupa kama fisi kaona mzoga mtu anaona unamchukulia malaya. Chukua muda. Juaneni kidogo. Sio message ya kwanza salamu ya pili unataka mkabanduane kama vile utamlipa kwa kuwa unajua anajiuza. Mi napenda wanaume wastaarabu. Na wastaarabu wengi nachat nao pm na wachache whatsapp wale wanaojilewa.
Heeee kumbe mko serious nilijua mnatania? Ngoja nijifunze kwa huu ushauri wako.
 
Waooooh

Watu wanakimbilia kuuuliza kazi

Unaishi wapi

Una mpenzi

Una miaka mingapi

Unakaaa na nan

Una watoto

Nitumie pichaaaa

Maswali yote ili upate nn?

Chamdeko
54a47d4cb083b7c06ed34f0ca357524c.jpg
Naomba unijibu haya maswali yote[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom