Mimi kati ya PM nilizonazo ambazo ni za KE wao ndio wamenifuata na ninachat nao kwa wema kabisa, ninapiga nao story vizuri sana na kufurahi kwa pamoja.
Wapo hawana subiri wanakuna pupa kufuata wenzio PM matokeo yake wanaishia kujibiwa hovyo kulingana na gia aliyoingia nayo, ila ukiingia taratibu mtaelewana vizuri tu bila shida yoyote.
Kingine inachowaboa watu, mtu akiingia PM anakuwa na haraka ya kutaka kumjua mtu kwa undani zaidi na kuomba namba ya simu hapo hapo, kitendo ambacho kinapelekea PM kuvunjika mapema.