Kwahiyo aliruhusu umuweke kwa avatar yako pm me situmii kabisa nimeshaachana nayoAkiruhusu hamna shidah...
Kumbuka mm nimeokoka kabisa kabisa sina ujinga ule ulioufaham...
Hafu kuwa marafiki sio lazima unipe pic yako rafikiiii....
Sema anko huyu mshkaji hata akajikuta alinitaka mimi atacheka tu basi.Hahaha utashangaa anakutoa lunch hamadi uncle[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaha ukabaki mdomo waziAhahha kuna shemeji yangu mmoja yupo humu tunaitana shemeji wenyewe tupo kama ndugu sasa hivi
Tulikua tunachat pm shemeji yangu ni mstaarabu tumezoeana pm hakuna kunisumbua kuomba pic wala nini siku ya siku anataka tuonane hapo sijui anafananaje wala hajui shunie anafananaje
Nikaenda eneo la tukio nipo na rafiki yangu mmoja nikamuwahi nimekaa naangalia mlango akaniambia nipo na rafiki yangu basi kila wakiingia watu wawili naangalia mara wameingia vizee viwili nikaifunika simu yangu nikasema kama ndio yeye atapiga akome [emoji3] sipokei
Bada ya mda wakaingia wakaka wa makamo moja kwa moja alikuja kwenye meza yetu shunie shemeji yangu mm wala sikutag unajijua popote ulipo mtu ambaye sijutii kukufahamu jf Mungu azidi kukuweka tu na mautundu yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli hata wasap.Kwahiyo aliruhusu umuweke kwa avatar yako pm me situmii kabisa nimeshaachana nayo
[emoji3][emoji3][emoji3] yaan alijua anachokifanya moja kwa moja kaja kwenye meza yetu ananiambia shunie basi akanihug tukaanza kupiga moja moto moja baridi story yaan naishukuru jf kwakweli imenipa watu wema sanaHahaha ukabaki mdomo wazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wewe mondrayKwakweli hata wasap.
Yule niliyemuweka aliniambia mwenyewe niweke..
Ngoja waje mkuu.
Ahaa basi ngoja tuendelee kuzoea na masiku yanaenda kasi kweliManga pm wanakuja watu wa kila aina kuna watu wa masalaam kwa siku utasalimiwa hata mara 10 yaan akiingia akitoka ni salaam tu na kuna watu wa kuomba pic tu anataka akujue ulivyo pm kuna kila aina ya vituko
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mambo ya jf kila mtu anamvizia mwenzie
Haha umenichekesha eti ukaona wababu wawili wanaingia ukafunika simu[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji3][emoji3][emoji3] yaan alijua anachokifanya moja kwa moja kaja kwenye meza yetu ananiambia shunie basi akanihug tukaanza kupiga moja moto moja baridi story yaan naishuru jf kwakweli imenipa watu wema sana
Ndio jf yetu hii mwendo wa kuviziana tu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ahhhaha mwenyewe nilimwambia alicheka sana akaniambia kwahiyo ningekuwa wale vibabu ndio ungenikimbia nikamwambia yaan nilivyoona wameshika simu wanapiga nikajua ndio wewe nimefunika simu yangu ingeita ningeizima kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha umenichekesha eti ukaona wababu wawili wanaingia ukafunika simu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aaah sasa mimi nina shida gani? Kwanza PM umefunga nakusumbuaje?Ndio jf yetu hii mwendo wa kuviziana tu
Weke end hii ntakua uber wako hii ni fulsa kwanguHahahaaa.
Ahaha hiyo kabla sijafunga pm RrondoAaah sasa mimi nina shida gani? Kwanza PM umefunga nakusumbuaje?
Tujaribu kuchangia mada kulingana na majukwaa mkuu itapendeza zaidi......We Tundu Lissu si mgonjwa? Vipi kiki huko Ulaya, inaendeleaje?
Hii ya kuchungulia naitamani sana najua tunapishana sana humu barabaraniToka niingie jf nmechat pm na wadada wawili tu! Tena hao mmoja alinifata mwenyewe na mwengine nilimchungulia kwenye daladala akikoment hapa jf nikaona id yake nikampm kumsalimia..!
Waliobaki wote ni wanaume na hawazidi hata kumi, na hao wote ni issue za biashara..! Huwa sipendi kumsumbua mtu maana mi mwenyewe sipendi kusumbuliwa..!