Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Ahahha kuna shemeji yangu mmoja yupo humu tunaitana shemeji wenyewe tupo kama ndugu sasa hivi

Tulikua tunachat pm shemeji yangu ni mstaarabu tumezoeana pm hakuna kunisumbua kuomba pic wala nini siku ya siku anataka tuonane hapo sijui anafananaje wala hajui shunie anafananaje

Nikaenda eneo la tukio nipo na rafiki yangu mmoja nikamuwahi nimekaa naangalia mlango akaniambia nipo na rafiki yangu basi kila wakiingia watu wawili naangalia mara wameingia vizee viwili nikaifunika simu yangu nikasema kama ndio yeye atapiga akome [emoji3] sipokei

Bada ya mda wakaingia wakaka wa makamo moja kwa moja alikuja kwenye meza yetu shunie shemeji yangu mm wala sikutag unajijua popote ulipo mtu ambaye sijutii kukufahamu jf Mungu azidi kukuweka tu na mautundu yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha ukabaki mdomo wazi
 
Manga pm wanakuja watu wa kila aina kuna watu wa masalaam kwa siku utasalimiwa hata mara 10 yaan akiingia akitoka ni salaam tu na kuna watu wa kuomba pic tu anataka akujue ulivyo pm kuna kila aina ya vituko
Ahaa basi ngoja tuendelee kuzoea na masiku yanaenda kasi kweli
 
[emoji3][emoji3][emoji3] yaan alijua anachokifanya moja kwa moja kaja kwenye meza yetu ananiambia shunie basi akanihug tukaanza kupiga moja moto moja baridi story yaan naishuru jf kwakweli imenipa watu wema sana
Haha umenichekesha eti ukaona wababu wawili wanaingia ukafunika simu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Haha umenichekesha eti ukaona wababu wawili wanaingia ukafunika simu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ahhhaha mwenyewe nilimwambia alicheka sana akaniambia kwahiyo ningekuwa wale vibabu ndio ungenikimbia nikamwambia yaan nilivyoona wameshika simu wanapiga nikajua ndio wewe nimefunika simu yangu ingeita ningeizima kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Toka niingie jf nmechat pm na wadada wawili tu! Tena hao mmoja alinifata mwenyewe na mwengine nilimchungulia kwenye daladala akikoment hapa jf nikaona id yake nikampm kumsalimia..!
Waliobaki wote ni wanaume na hawazidi hata kumi, na hao wote ni issue za biashara..! Huwa sipendi kumsumbua mtu maana mi mwenyewe sipendi kusumbuliwa..!
Hii ya kuchungulia naitamani sana najua tunapishana sana humu barabarani
 
Back
Top Bottom