Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Endelea kuigopa hivyo hivyo mwingine anataka kukujua tu unavyofanania na hii sura ya baba angu siku unapigwa madongo au unaanzishiwa lithread lako mtu flank anaringa ni mbaya huyo au wana magroup yao huko ya whatsapp huko unaenda kusemwa
Ahaaa, utasikia huyo Shunie anavyoringa, kumbe sura yenyewe kama anapiga chafya? Ila mimi ningekuwa mwanamke huko Pm watu kama hao wangenikoma.
 

Ha ha ha, kumbee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…