Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
SawaBasi atakuwa amesahau tu
Habari za siku tele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaBasi atakuwa amesahau tu
Sitaki kubambikiwa kesi mimiHahaha
Unajua kukwepa eeh
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Babe .
Nakuangalia tu unavyoni skip. Embu nichek pm
Hahhhhhhhaaaaa mpajaNaona Haya sifiki najikuta natumia masaa mawili na hiyo avatar
Punguza hasiraUnajua tatizo la wanaume wengi wanachoharibu pm ile kutaka kukujua mapema kutaka kuomba umtumie picha au kuomba no ya simu upapara wenu huo ndio mnahoaribu
Mzoee mtu kwanza muwe marafiki tu wala usiwe na papara ya kutaka no ya simu au picha mpaka mzoeane kabisa
Sasa we kuingia pm tu unaanza masalaam shunie naomba nitumie pic nikuone khaaa pic yangu ya ninii ndio mana tunawatumua pic za kudownload muangaike nazo
Halaf kingine maswali maswali yenu mengiii mnakera mnooo
Sijamwita JiraniJirani nani amekuambia umuite huyu....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]
Sawa bwanaSitaki kubambikiwa kesi mimi
Nipoo...sahv naona mpk unamzidi mwalimu wakoTicha upo?
Wewe ndiye mwalimu wangu wa PM
Mi sijawahi kufungua link zake kwa kweli.Mara ya kwanza kabisa nilijaribu kusoma story yake nikashindwa.
Ikawa nikiona link tu siifungui hata.
Nipoo...sahv naona mpk unamzidi mwalimu wako
Mi sijawahi kufungua link zake kwa kweli.
Hahahaa. Acha woga mkuu. Pm yangu tupuu kabisa.Wewe hapana aisee.We mbona ni malkia wa hapa Jf kwa sasa,i hope pm yako ina foleni kama ya benki ya nmb tarehe za mwisho wa mwezi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe hapana aisee.We mbona ni malkia wa hapa Jf kwa sasa,i hope pm yako ina foleni kama ya benki ya nmb tarehe za mwisho wa mwezi.
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseesitaki shobo na mtu watu wasiojulikana wametapakaa
Anafaa kuwa baba ako au unataka babako abaki Nyani Ngabu tu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh tupange kuonana basi nami niingie kwenye hiyo list yako ya watu wema[emoji3][emoji3][emoji3] yaan alijua anachokifanya moja kwa moja kaja kwenye meza yetu ananiambia shunie basi akanihug tukaanza kupiga moja moto moja baridi story yaan naishukuru jf kwakweli imenipa watu wema sana
Wewe ni mwanaume wa shokaKile kiapo cha usiri pm nitakilinda Daima. Eeeh mods mnisaidie. Amiin.
Hivi ule uzi wetu upo?Wewe ni mwanaume wa shoka