Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Ndiyo yeye huyo Mkuu. Ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja, kujieleza na kuuliza maswali ya kufikirisha. Wengi humu walimsifia sana kwa vipaji vyake.

 
Kuna mmoja alinifata PM kumbe punga kanitumia mapicha ya wanaume kwa wanaume kibao anataka nikamsukumie mashine NIMEMPOTEZEA ukimkuta kule ktk jukwaa la SIASA utaisi ni mwanaume na strong point..ila ni PUNGA
Hatariii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…