Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

JF ukiweka id ya mtoto mzuri na Avatar yenye msambwanda kama wa DJ Sepetu aaanh utawavua wengi sana..
kwako nadhani jina ilo ni tamu tamu ata mimi nimelipenda, maana Avatar umeweka viatu
[emoji23] [emoji23] sasa hawaoni izo avatar ni fake jaman,unakuta mtu kaweka tako la wema lakin anafuatwa hatari,sasa unabak unajiuliza uyu kapenda hil tako la wema au kuna kingine?
 
Kama anaijua story yako vzuri bas ni kweli una kibamia
 
Hahaaa. Mie ntajitolea Kaka sababu unapitwa na Vingi.

Sababu Urafiki, undugu, Ukaka, Udada, Uchumba, Uhasama unaunganishwa na PM maana ndio watu wanaanzia huko baadae wanahamia sehemu iliyo salama zaidi nje ya Jf.
Naandaa karatasi na daftari kabisa. Usinisahau mie
 
[emoji23] [emoji23] sasa hawaoni izo avatar ni fake jaman,unakuta mtu kaweka tako la wema lakin anafuatwa hatari,sasa unabak unajiuliza uyu kapenda hil tako la wema au kuna kingine?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi unajua unaanza kuniambuikiza hiyo hali..... Kila nikiona notification yako mapigo ya moyo yanaongezeka. ...... unanivuta ujue..... halafu najiona kabisaaa navutika. ......
Ukahaba ni nini?


Ukahaba ni huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…