Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
[emoji23] [emoji23] sasa hawaoni izo avatar ni fake jaman,unakuta mtu kaweka tako la wema lakin anafuatwa hatari,sasa unabak unajiuliza uyu kapenda hil tako la wema au kuna kingine?JF ukiweka id ya mtoto mzuri na Avatar yenye msambwanda kama wa DJ Sepetu aaanh utawavua wengi sana..
kwako nadhani jina ilo ni tamu tamu ata mimi nimelipenda, maana Avatar umeweka viatu