Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Sema pm kuna mengi. Kuna mtu hata usimpojibu atakuja tena kesho na kesho kutwa. Kuna mmoja huyo alinisalimia siku ya kwanza nikarespond. Baadae nikaacha kumjibu msg zake alichoniandikia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Eti bahati yako nilitaka nikutie kama nilivyomtia ......... mpaka akaumwa. Akasema alimtia siku mbili. Nilichekaa hadi nikamjibu tu ili anielezee huyo member walitiana vipi. Akasema we muulize tu anaujia mziki wangu. Pm kuna vichaa wengi sana
Hahahahaha mzigua nakuja pm
 
Hiyo ni sababu kuu kwangu inanifanya niigope PM japo mara nyingine najiaminisha kwamba hali hiyo haitakuja kunitokea nikiamini kwamba wale ninaowasiliana nao Hilo hawatalifanya.
Happy Valentine Ngoda95.
Usimuamini mwanamke.

Nimekumiss
 
Niliowafuata Pm
Evelyn Salt huyu anaringa kama anakunya keki hadi akawa hanijibu nikamuuliza yaani hadi mimi
alichonijibu sasa
espy huyu nilifanikiwa
Madame B huyu nilifanikiwa
Mama Sabrina ananijibu kwa mkato
Mzigua90 nahisi mimi ndio ananifungulia thread humu
Sky Eclat huyu anamuachiaga mumewe achati na mimi
miss chagga yaani salamu tu naambiwa nitume hela ya vocha kwanza

nitaendelea
Basi unajiona mshindi mwenyewe.
Ila umesaga vumbi mpaka nimekukubalia.

Mwenza espy sijui yuko wapi muda huu
 
Basi unajiona mshindi mwenyewe.
Ila umesaga vumbi mpaka nimekukubalia.

Mwenza espy sijui yuko wapi muda huu
OK sawa Ila Usije ukamkubalia Tena,Pia Tahadhari huyu jamaa anapenda Michezo ile Uliokuwa unafanya zamani!
Long time Madame B....[emoji17] [emoji6]
 
OK sawa Ila Usije ukamkubalia Tena,Pia Tahadhari huyu jamaa anapenda Michezo ile Uliokuwa unafanya zamani!
Long time Madame B....[emoji17] [emoji6]
Long time kwa kweli
Hv katika makabrasha yangu hakuna Pm yako kweli...maana jinalo kama lipo vile.
Ahhhhh..anapenda zoezi la kuny.a kumbe.
Lile sie tunaita sunna, kionjeo tu mchezoni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pm kuna mambo...kuna watu ni wasumbufu yaani we acha tu. Wapo wale anakuja anakutumia pm ya kwanza kukusalimia ukimjibu meseji ya pili anataka kujua unapatikana wapi, ya tatu anaomba namba ya simu...ukishafika hapo nakupotezea sikujibu tena
Naomba access ya PM yako mkuu!
 
Kuna huyu anaitwa miss nkosozana nimemuibukia Mara kibao ila pm kaiwekea kufuli
 
Long time kwa kweli
Hv katika makabrasha yangu hakuna Pm yako kweli...maana jinalo kama lipo vile.
Ahhhhh..anapenda zoezi la kuny.a kumbe.
Lile sie tunaita sunna, kionjeo tu mchezoni
Hahaha Umenichekesha sana sana Aisee....jina langu kwako Pm litakosaje?
Tangu Kipindi kile tunaenda Ocean road kama JF Kuwatolea misaada,pia Escape1,
Sasa Pm kwako jina LA Monaco linakosaje?
Hahaaa Eti kama Kianzio sunnah
 
Nimeenda Pm ya Watu 3 tuu humu Jf,nilikuwa nawasalimia Tuuu,Ila watuwenyewe hata Kuomba hela hawaombi,wao kimya tuu,Mwanamke lazima Apende pesa bana,mwanamke Asiependa Pesa Akae mbali nami!
 
Back
Top Bottom