Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Wengi kutakana ila wengine wanakuja kirafiki kabisa na mwingine hata kukutaka anakutaka kistaarabu mnakataana kistaarabu mnaendelea kuchat kistaarabu bado. Wengine jamani. Daaah. Mtu anakwambia anataka kufanya nini sijui tena bila hata salamu.
hahaha aisee poleni wadada, kuna wanaume ni vichaa [emoji23][emoji28][emoji23]

ila sometimes na nyie wadada mnakuwaga wa ajabuu...anaweza akaja mtu kistaarabu mkamuona mshamba mkamzingua alafu akija kichaa fulani direct kwenye shida yake mnavutiwa nae hahaha [emoji2][emoji3][emoji2] Dunia hii
 
Back
Top Bottom