mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Mungu ni mwema[emoji120] [emoji120]Salama kabisa Swahiba kumekucha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni mwema[emoji120] [emoji120]Salama kabisa Swahiba kumekucha.
Bora wewe unajua kuna watu wanajua ni rahisi kama kumsukuma mlevi.Alimsingizia tu. Kupata mbunye JF sio kazi rahisi eti.
hivi na wale wanaotafuta wapenzi inakuwaje ss!!Yaaah hlo ndo ttz kubwa hawaitumii
Kiustarabu
Yaaaani[emoji3][emoji3]kisandu trending [emoji16] [emoji16]
wakichukue tu ki andunje hiko hakina issue..Saint Ivuga beb unaibiwa huku.
Numbisa tuhurumie unajua nakuona Si kwa elimu hii unayotoaHapo kwenye kuangalia notification tafuta neno privacy kisha angalia start conversation with u,hapo weka people u follow only unakua umemaliza kazi.
KaribuNaomba nikufuate pm nikupe neno la uzima
Nlishindwa kumwelewa aiseeehahaha[emoji23][emoji28][emoji23] kuna watu mshipa wa aibu na ufahamu umekatika aisee duuh!
Namwogopa anaweza hisi tofauti[emoji3][emoji3]Ha ha ha kamwambie huu ujumbe huko huko ulipompa namba
[emoji3][emoji3]kichwa kichafu store inatafuta nnSoda nimeagiza Ila ile number sijaifuta ipo store
Nina shida nawe mkuu nakufuata pm.Sijawahi kuwa na haja ya kwenda PM kwa mazungumzo binafsi. Pia sipendi mtu anitafute PM kwa jambo linalozungumzika kwenye majukwaa.
Haha haha hiyo "kaka angu" ni ili uninyime nini?Ni wewe unavyoitumia pm kaka angu.
hahaha aisee poleni wadada, kuna wanaume ni vichaa [emoji23][emoji28][emoji23]Wengi kutakana ila wengine wanakuja kirafiki kabisa na mwingine hata kukutaka anakutaka kistaarabu mnakataana kistaarabu mnaendelea kuchat kistaarabu bado. Wengine jamani. Daaah. Mtu anakwambia anataka kufanya nini sijui tena bila hata salamu.
Wapo wengi sanaaaaa kuliko unavyodhani.Ndio mkuu.
Uzuri wengi wao tukizoeana huku majukwaani inakuwa ni rahisi kuja PM, hamna aliyewahi kuja PM bila kuzoena huku kwanza
mambo, nimependa kiatu chakoNamwogopa anaweza hisi tofauti[emoji3][emoji3]
HahahahahaaHaha haha hiyo "kaka angu" ni ili uninyime nini?
Ukimaliza niachieeUnavujisha siri hakuna sababu ya kuwa na pm huna kiapo mkuu
Pm yako naitamani[emoji23]Haya mjitaje kwa herufi Kubwa
Hii elimu ni mkombozi kwanguNumbisa tuhurumie unajua nakuona Si kwa elimu hii unayotoa