Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kabisa yaani na unafurahi na kupata Ndugu, Jamaa na Marafiki wasio kero wala bughudha.
Na bila kusahau kupeana mawili matatu kama yalee [emoji12] [emoji12] ya Emmy na Numbi wakikutana kule maeneo huwa hayaishi. Hahaaaaa.