Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Kweli niko serious, jiulize mwenyewe mara ya mwisho nilipitaa lini kusalimia.
Yaan wewe ebu acha kujishtukia me ndio nilianza kukufata pm mm kwahiyo ningekuwa sitaki nisingekufata bada ya kusema una shida na mm naanzaje kukusema ukiona naongea kuhusu pm ni mambo ya zamani kabla sijaifunga huko
 
Back
Top Bottom