Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] safi sana rafiki. Ukiona hivyo basi jua kwa asilimia zote na wewe unajielewa rafiki.

Hili ni funzo kwa wale wanaoleta maneno machafu kwenye PM za wenzao ili wajue wapo wanaojielewa na wastaarab wengi tu na wanakwenda na kupokelewa pia.

Mie Pia namshukuru Mwenyezi Mungu sijawahi kukaa na kuijutia Pm yangu. Hahaaaaa.
Mhh kwanini
 
Niliowafuata Pm
Evelyn Salt huyu anaringa kama anakunya keki hadi akawa hanijibu nikamuuliza yaani hadi mimi
alichonijibu sasa
espy huyu nilifanikiwa
Madame B huyu nilifanikiwa
Mama Sabrina ananijibu kwa mkato
Mzigua90 nahisi mimi ndio ananifungulia thread humu
Sky Eclat huyu anamuachiaga mumewe achati na mimi
miss chagga yaani salamu tu naambiwa nitume hela ya vocha kwanza

nitaendelea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana mkuu, kuwa Sky Eclat anamuachia babu Asprin ili akujibu kwa picha.....

 
Kuna raha gani sasa huko pm zaidi ya kuja kusalimiwa tu kwa siku hata mara 10 mtu akitoka akija ye salaam tu
SAA 3 asubuhi (mambo shunie)
saa 6 mchana(shunie niaje mzima)
SAA 8 mchana(daahh shunie mtoto cheupe wanitoa udenda ujue)
SAA 10 alasiri(shunie niambie)

saa12 jioni (shunie cheupe upo)

hahaa

sasa dawa yake mpige mzinga ..harudi tena ..akirudi basii jiandae kuanzishiwa Uzi ..mademu wa Jf wanapnda Pesa mnoooo
 
Back
Top Bottom